Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Wakati anasoma alikuwa anapewa sifa za kijinga na PhDs & Pofs fake kuwa wewe sahivi ni msomi wa daraja la juu Managerial level, kamaliza kaja na hizo mentality huku kitaa akizani Masters ake ya wizi na kitaa itafanya kazi.
Mkuu ungemwendea kwa mganga tu
 
Wala mi nakuonea huruma, tayari mi ni mfugaji na mkulima siwezi kukuonea wivu zaidi nakuhurumia utaendelea kuwa mjinga mjinga na mtumwa mpk miaka 60 unakuja kupewa milioni 100 sijui utaifanyia nini kwa wakati huo?
Nitakusomeshea Masters
 
Kwani uongo? weka report ako hapa tuone tufanye zoom meeting 20 minutes ukiweza ku-defend nakupa laki 5.
Hahaaa watu wenye laki 5 wanaonekana hata kwenye post tu, ww hata elfu 30 tu huna hapo ulipo ndo maana unapaniki panic hovyo
 
Ukiona umesoma mpk level ya Phd then unalialia kuhusu kuongezwa ka mshahara, we ni zero kabisa
Sasa shida ipo wapi mkuu?
Nashangaa mnapaniki kwa vitu visivyo wahusu
 
Hahaaa watu wenye laki 5 wanaonekana hata kwenye post tu, ww hata elfu 30 tu huna hapo ulipo ndo maana unapaniki panic hovyo
Mi dada angu siwezi panic hela ya kubadilisha mboga hainipi shida kabisa, nakuonea huruma kuja kulia lia huku JF na masters ako ambayo haina tija kwa jamii. Peleka mapendekezo ako kwa Katibu Mkuu utumishi sisi huku JF tunataka watu wenye akili timamu watafutaji ambao tunaweza kupeana fursa za kibiashara. Nyie wajinga subiri Mei mosi mdanganywe mtaongezewa mishahara na TUCTA wanapiga pesa za wajinga mnaambulia tshirt na kofia huku umekatwa zaidi ya laki 6 kwa mwaka.
 
Ila kusema hapo ulipo una laki 5 si kweli mkuu tuache uongo
 
Taasisi kama yetu wako strictly hata kuomba kusoma masters sio rahisi , lazima uandike maelekezo ya kutosha kwa nn unataka kwenda kusoma na umuhimu wa masomo kwa taasisi , ukiwa vizuri unasomeshwa .

Kazi nyingi zinahitaji uzoefu wa muda mrefu kazini, vyeo vya masters hamna mtu hujafika miaka ya kuwa senior unataka kuwa manager, kusoma mapema hata kuunga ni bora ila ngojea kwanza upate uzoefu maana nje ya kusoma baadhi ya vyeo vinahitaji hekima na busara .
 
Back
Top Bottom