Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala mi nakuonea huruma, tayari mi ni mfugaji na mkulima siwezi kukuonea wivu zaidi nakuhurumia utaendelea kuwa mjinga mjinga na mtumwa mpk miaka 60 unakuja kupewa milioni 100 sijui utaifanyia nini kwa wakati huo?Twende taratibu mkuu don't panic please
Phd za chupiTulia mkuu usipaniki kwani shida ni nini ungekuwa umejiajiri ungekuwa una bwabwaja pumba hapa?
Mkuu ungemwendea kwa mganga tuWakati anasoma alikuwa anapewa sifa za kijinga na PhDs & Pofs fake kuwa wewe sahivi ni msomi wa daraja la juu Managerial level, kamaliza kaja na hizo mentality huku kitaa akizani Masters ake ya wizi na kitaa itafanya kazi.
Nitakusomeshea MastersWala mi nakuonea huruma, tayari mi ni mfugaji na mkulima siwezi kukuonea wivu zaidi nakuhurumia utaendelea kuwa mjinga mjinga na mtumwa mpk miaka 60 unakuja kupewa milioni 100 sijui utaifanyia nini kwa wakati huo?
Kwani uongo? weka report ako hapa tuone tufanye zoom meeting 20 minutes ukiweza ku-defend nakupa laki 5.🤣🤣🤣Ila we jamaa bwana, nenda ukale kwanza usije ukapoteza hamu la kula
Huo ujinga nani anataka, watoto wangu hawatakuja kurithi hayo makaratasi yako, watoto wangu wanataka kuja kurithi mali za uhakikaNitakusomeshea Masters
Mi dada angu siwezi panic hela ya kubadilisha mboga hainipi shida kabisa, nakuonea huruma kuja kulia lia huku JF na masters ako ambayo haina tija kwa jamii. Peleka mapendekezo ako kwa Katibu Mkuu utumishi sisi huku JF tunataka watu wenye akili timamu watafutaji ambao tunaweza kupeana fursa za kibiashara. Nyie wajinga subiri Mei mosi mdanganywe mtaongezewa mishahara na TUCTA wanapiga pesa za wajinga mnaambulia tshirt na kofia huku umekatwa zaidi ya laki 6 kwa mwaka.Hahaaa watu wenye laki 5 wanaonekana hata kwenye post tu, ww hata elfu 30 tu huna hapo ulipo ndo maana unapaniki panic hovyo
Hawa ni zero brain kabisa, hiyo masters ni utapeli tupu, ukitoa cheti kichwani ana baki na kamasi tupuUkiona umesoma mpk level ya Phd then unalialia kuhusu kuongezwa ka mshahara, we ni zero kabisa
Ila kusema hapo ulipo una laki 5 si kweli mkuu tuache uongoMi dada angu siwezi panic hela ya kubadilisha mboga hainipi shida kabisa, nakuonea huruma kuja kulia lia huku JF na masters ako ambayo haina tija kwa jamii. Peleka mapendekezo ako kwa Katibu Mkuu utumishi sisi huku JF tunataka watu wenye akili timamu watafutaji ambao tunaweza kupeana fursa za kibiashara. Nyie wajinga subiri Mei mosi mdanganywe mtaongezewa mishahara na TUCTA wanapiga pesa za wajinga mnaambulia tshirt na kofia huku umekatwa zaidi ya laki 6 kwa mwaka.
Wala mi nataka elimu ya vitendo na siyo vyeti. Wewe una masters japo ya mchongo lakini bado unalia lia mshahara apa na mwenye certificate afanyaje?Unakwepa majukumu ya kusomesha wenye Mali hawapo humu sahz
Tuweke kwa uongozi wa JF najua wewe huna weka hata laptop ya ofisini kwako mimi niwape JF cash kabla hujaanza ku-present ni online wala sitaki face to face.Ila kusema hapo ulipo una laki 5 si kweli mkuu tuache uongo