Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili.
Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia.
heshima bure.
Azizi key ni level nyingine kipa William hawezi kumsahau.