Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 168
- 175
Hawa kitaaluma ndio wanaitwa Investigative journalist.. hawa muda mwingine lazima wazijue some Abcds za ujasusi katika kupata Taarifa
Waandishi ubwabwa wa BONGO hawawezi hiiHawa kitaaluma ndio wanaitwa Investigative journalist.. hawa muda mwingine lazima wazijue some Abcds za ujasusi katika kupata Taarifa
Na wewe hapa hapakufaiNenda Facebook
Hawa waandishi wa aina hii wapo ligi yao ya kipekee sana. Hawa wa kwetu ni mwendo wa kufukuzia bahasha za kaki na kujipendekeza kupata teuziWaandishi ubwabwa wa BONGO hawawezi hii