lazima tujifunze mkuu hili ni balaa...Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa.
Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha.
Kilichofata najua Mimi na Mungu wangu yes no, yes boss, yaah yaah ndio zilitamalaki hadi mama mkwe akaanza kucheka.
Hii aibu nzito sana. Kweli Mimi ni kiazi
Na wewe kitimoto ndio walewale.Nyie kimombo hakipandi kwa kimbelembele chenu mnaweka duka la madawa kwenye njia wanazopita wadhungu! Ondoeni huko uswazi kwenu zipo flemu nyingi tu za kupanga.
Ungeongea ki swedishMuonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa.
Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha.
Kilichofata najua Mimi na Mungu wangu yes no, yes boss, yaah yaah ndio zilitamalaki hadi mama mkwe akaanza kucheka.
Hii aibu nzito sana. Kweli Mimi ni kiazi
Kujua majina ya dawa na matumizi yake sio kujua kiingereza, wapo wengi tu lugha ya malikia haipandiWewe na mama mkwe wako mtauzaje famasi bila vyeti hamukumaliza form four na kusoma chuo cha afya.....mgejua angalau kiingereza cha kuanzia.
wengine chakusomea na kuandika "tumesalimika"ila chakuropoka tumekwama kabisa!!Mtu upo JF hujui English?..kweli jamani hata cha kuombea maji??..
Kidding.
Kama una muda jifunze..Dunia hii ni kujifunza new stuffs ambazo zinaweza kurahisisha maisha yako
[emoji23][emoji23][emoji23]wengine chakusomea na kuandika "tumesalimika"ila chakuropoka tumekwama kabisa!!
Lakini sio mbele ya mama mkwe, kheri kingepanda kwa muda tu baadae kikasepa!!Wala sio aibu na usijione wewe ndio mwenye jukumu la kujua kiingereza, hata huyo mzungu naye inabidi ajifunze kiswahili mbona wenzake nyomi huku street wanaongea hadi kinyakyusa??
Kuna jamaa humu aliweka post akisimulia jinsi alivyofedheheka ughaibuni alipoambiwa afungue kikao kwa maombi kwa kiinglishi. Kwa kweli duniani tunapitia changamoto za aina mbalimbali.Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa.
Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha.
Kilichofata najua Mimi na Mungu wangu yes no, yes boss, yaah yaah ndio zilitamalaki hadi mama mkwe akaanza kucheka.
Hii aibu nzito sana. Kweli Mimi ni kiazi
Usione aibu, lugha ya taifa ni kiswahili, tuliosoma shule za kata kinge hakipandi kama hawa wtt sikuhizi. Unaweza jifunza lknMuonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa.
Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha.
Kilichofata najua Mimi na Mungu wangu yes no, yes boss, yaah yaah ndio zilitamalaki hadi mama mkwe akaanza kucheka.
Hii aibu nzito sana. Kweli Mimi ni kiazi
Hahahawengine chakusomea na kuandika "tumesalimika"ila chakuropoka tumekwama kabisa!!
Yaah yaah yaah, ok ok okMuonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa.