Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza

Daaaah we jamaa banaaaaaa
 
Ahsante
 
Tangia nianze kuingia jf miaka yangu yote wewe ndo kiumbe wa kwanza kunifanya nicheke kwa sauti hadi watu wakanigeukia

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
TUNAFUNDISHA ENGLISH COURSE

Tunafundisha English course kwa madaraja yafuatayo
1. Beginners class
  • Level one
  • Level two
  • Level three
2. Intermediate class
  • Level one
  • Level two
3. Advanced class
  • Level one
  • Level two
  • Level three
Beginners class ni shilingi 150,000 @50,000 kila level

Intermediate class ni shilingi 150,000@ 75,000 kwa kila level

Advanced class itategemea na mwanafunzi anataka kuwa mahsusi kwenye nyanja ipi kati ya
  • Fasihi
  • Historia
  • Saikolojia

Tunafundisha home tuition au kufika kituoni Kiluvya, Gogoni. Wote mnakaribishwa.

0743123946, 0684436954
 
[emoji2]
 
Wala sio aibu na usijione wewe ndio mwenye jukumu la kujua kiingereza, hata huyo mzungu naye inabidi ajifunze kiswahili mbona wenzake nyomi huku street wanaongea hadi kinyakyusa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo shida ya kujimwambafy, hadi mama mkwe akadhani unajua ung'eng'e kumbe wapi. Ukabaki yes yes mzungu kala mafenesi.Mkuu acha hizo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kufuga madevu km waarabu, huta aibika tena
 
Kujua, haujui ni karama waliyopewa watu wachache Sana Duniani.... Wanaoukubali ukweli kwamba wanachangamoto inayo wakabili na kutafuta namna ya kuikabili.

Karama hii imetoa watu wengi wenye mafanikio makuu, nitakukuta upande wa pili wa upinde wa mvua.
 
Daah!nimejikuta nacheka sna chief...kwamba ukajiona tayar umekwisha...haujamalizia nini kilicho endelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…