Tanzania hatua iliyofika ni mbaya. Wananchi na viongozi wote wameshakubali uzembe na uvivu ni sehemu ya maisha. Bado kuna vingine.... kukosa umakini, kuzoea matatizo kiasi ambacho watu wanaona ni maisha ya kawaida.Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!
Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!
Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!
Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!
Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?
NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
ah aha ha we ndo umegundua.leo. yaani.watu.wanajipandishia.bei ya cement na hakuna wa kukohoa. Tanzania inaongozwa na wehuWakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!
Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!
Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!
Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!
Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?
NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
Ila ajabu ni kuwa kabla ya huu ujenzi usioleweka unaoendelea, hakukua na foleni hapa. Sijui foleni imekuja sababu gani aisee!!Wakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!
Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!
Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!
Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!
Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?
NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
Ila ajabu ni kuwa kabla ya huu ujenzi usioleweka unaoendelea, hakukua na foleni hapa. Sijui foleni imekuja sababu gani aisee!!
Nipo korogwe resort hapa muda huu
Kibaha maili moja to Mlandizi ndio funga kaziWakuu habari zenu!
Nadhani hakuna mtu ambaye hajapita Morogoro road hasa eneo la Kimara mwisho! Kinachoendelea hapa ni masikitiko, maana hili ndilo lango la jiji, ila foleni ya eneo hili inatia kinyaa!
Ukitoka mjini si ajabu kumaliza saa zima au nusu saa kutoka kimara korogwe mpaka kuvuka pale Kimara mwisho! Pale kuna upanuzi unafanyika ila la maana hakuna! Maana kama unatoka mjini kulikuwa na service road ya kuchepukia Bunyokwa ila nayo wameiua wameweka vitu vya ajabu ajabu pale!
Licha ya ujenzi usioisha ila barabara ya kutokea mjini ni kama imeisha na hakuna solution yeyote, hata ule upande wa pili wa kwenda mjini , hata pakiisha hakuna unafuu wowote utapatikana!
Hapa ndipo huwa nakaa nawaza, hivi watanzania hatuna akili kabisa!? Barabara kuu ya Kuingia DSM tumeshindwa kujenga hata express way? Mbona Nairobi wameweza? Je wakenya wana akili nyingi kutuzidi? Yaani ukiangalia ile Express way yao toka Jomo Kenyata Airport mpaka James Gichuru Road mpaka unapata hasira, na cha zaidi wale jamaa ile express way bado inaendeleq!
Sisi Watanzania kwani tuna shida gani? Kuna hasara gani tukijenga hiyo miradi ya maana husasani barabara?
NB: Nyie watu ambao huea mnavompare DSM na Nairobi muache mara moja, maana Dsm ni uchafu tu! Lile jengo la mawasiliano tower na TPA mnayoyapiga picha kila uchao, kule Nairobi yapo kwa mamia!
Kweli maana ukivuka daraja tu pale folen imeisha, sasa hata kudhibiti kupark hovyo kwa bajaji na daladala tunasubiri msaada wa watu wa Marekani?Tatizo la pale ni Daladala na Bajaji zinapark hovyo ila ukishavuka tu foleni labda mataa.
Hakika huku kutegemea barabara moja ni ujima usioelezeka, pakitokea janga lolote na usafiri wa kuingia mjini wote unasimama!Hapo kulitakiwa kuwe na barabara nyingi za kupita nyingine zingeunga Gongo la Mboto, Kisarawe, Mlandizi, kuondoa pressure ya kila mtu kupitia Kimara na Kibaha, nyingine zingechonga kutoka huku Mbezi/Mbweni/Vikawe mpaka mbele kabisa, unapanua mji, unaweka ring roads za kutosha.
Ila watu wanakulakula pesa tu.
Hata kiusalama maana yake hapo kuuteka mji ukishika barabara chache umeshaukata mji na nchi nzima.Hakika huku kutegemea barabara moja ni ujima usioelezeka, pakitokea janga lolote na usafiri wa kuingia mjini wote unasimama!
Ujinga wa baadhi ya viongozi kuzuia mabasi makubwa kuingia mjini kwa maslahi binafsi, basi moja kubwa linabeba watu 60, ukizuia mabasi ukaruhusu bajaji maana yake watu 60 wa bus wanazalisha bajaj 20 kwenye foleni, hapo tayari ni tatizoWakuu habari zenu!