HOJA Kwa hii foleni inayoendelea Kimara Mwisho, Je tumekubali kama taifa hatuna akili hata moja??

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
matokeo ya ELimu Mbali Mbali toka Pakistani! mtu pekee mwenye maono wanataka kumnyonga hadi kufa! atuache na hawa mbu mbu mbu.

Wanachojua kila siku ni Kubishana na Viongozi wa DINI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…