DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Angalau Nyerere alikuwa na busara na hekima sababu ya malezi bora thus akawa cold blood dikteta, tofauti na ma pure dikteta Kama kina moi,mobutu, bokasa, mugabe,nk.Nyerere alikuwa na utu ndani yangu sababu ya malezi bora thus alisita kuwatendea ukatili wengine.Kama kweli hii katiba ya mwaka 1977 imebarikiwa wakati wa utawala wa Mwl: Nyerere ni wazi Hapa mzee wetu alikusudia kuangalia self interest. Rais kujigawia madaraka makubwa then mnabaki kumuita shujaa.
Nawasilisha hii katiba ya Mwl Nyerere hiko vibaya sana. Inapaswa kufumuliwa mara moja.
Katiba mfu katiba chakavu sii sahihi kwa kizazi cha sasaKipindi hicho Nyerere alikuwa ndo kwanza anaijenga nchi na ukiangalia kwa jinsi alivyokuwa mzalendo naona ni sawa kuwa na katiba ya aina hii kipindi kile lakini kwasasa haitufai inatakiwa katiba mpya inayoendana na wakati huu.
Copy na paste,alivifuta vyama vingi baada ya Uhuru kuogopa challenge,waliomchallange aliwatia jela na kizuizini, wengine aliwateua ubalozi nje ili wasimsumbue,alimiliki akili na mawazo ya watu kwa kumiliki printing room na kuzuia uwepo wa tv na radio binafsi ili watz wasijue kuhusu external world.Nyerere alikuwa dictator. Ukiangalia wale waliotofautiana nae jinsi alivyowafanyia acha tu.Aliruhusu vyama vingi baada ya kuona hawezi kupambana na nature,yaani alikuwa ameshakuwa mgonjwa hivyo akaona na hizi fuku fuku za mageuzi angekufa kabla ya siku zake.