GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa" amesema Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard leo katika Kipindi chao cha Asubuhi. Hivi ni kwani Duniani kuna Magari mengi tu lakini Gari ambalo Linadhaurika sana ( japo ndiyo hutumiwa na Watanzania wengi wa Kawaida na Kati ) ni la IST tu?
Mbona Mimi GENTAMYCINE mwenye usafiri wangu tu huu wa Baiskeli ya Phoenex sidharauliki kama wenye Gari za IST?