Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

Huwa sishangai watu wa aina hiyo hawanitoi kwenye reli bado ntaendelea kumiliki ist na ilikuwa ni dream car kwangu na ni imani kuna watu wanatamani wangepata hiyo inayoitwa Ki ist na natamba nayo mtaani naheshimika pia ntaiacha pale Mungu atapoona yeye nibadili,utakuta mtu hajawahi miliki hata starlet no A used nae anatoa kashfa kuhusu IST wat a shame...imagine bodaboda day worker anadharau IST eti hiyo nayo gar watu wana harrier ije kuwa hiyo.. kuna watu ni wa kuwahirumia aisee haina haja kujibizana nao
 
Back
Top Bottom