GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unajua Mimi namiliki Corolla Ila naheshimika sana mtaani maana ni gari za matajiri wazamani Ila Sasa ist ni gari iliyoyengenezwa rasmi kwaajili ya masikini ndiyo maana mafuta kananusa na pia hata ukiwa na buku Jero haukosi spea yakeTusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa" amesema Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard leo katika Kipindi chao cha Asubuhi. Hivi ni kwani Duniani kuna Magari mengi tu lakini Gari ambalo Linadhaurika sana ( japo ndiyo hutumiwa na Watanzania wengi wa Kawaida na Kati ) ni la IST tu?
Mbona Mimi GENTAMYCINE mwenye usafiri wangu tu huu wa Baiskeli ya Phoenex sidharauliki kama wenye Gari za IST?
mtu yeyote mwenye akili timamu huwezi msikia akiropoka namna hiyoTusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa" amesema Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard leo katika Kipindi chao cha Asubuhi. Hivi ni kwani Duniani kuna Magari mengi tu lakini Gari ambalo Linadhaurika sana ( japo ndiyo hutumiwa na Watanzania wengi wa Kawaida na Kati ) ni la IST tu?
Mbona Mimi GENTAMYCINE mwenye usafiri wangu tu huu wa Baiskeli ya Phoenex sidharauliki kama wenye Gari za IST?
Kwahiyo nawe unaungana kabisa na Mtangazaji huyo wa Kike wa TBC1 Janet Leonard kuiita IST ki IST akimaanisha anaidharau au?Unajua Mimi namiliki Corolla Ila naheshimika sana mtaani maana ni gari za matajiri wazamani Ila Sasa ist ni gari iliyoyengenezwa rasmi kwaajili ya masikini ndiyo maana mafuta kananusa na pia hata ukiwa na buku Jero haukosi spea yake
Naungana nayeKwahiyo nawe unaungana kabisa na Mtangazaji huyo wa Kike wa TBC1 Janet Leonard kuiita IST ki IST akimaanisha anaidharau au?
Unataka upite lami au au unataka uzungukie Malinyi utokezee Ruvuma?Nakuelewa kabisa Mtani. Haka Kabinti kamesomea Chuo Kikuu gani na kana kaa wapi huko Bongo? Vipi kameshaolewa au?
Mtani yaani hujui kuwa Mimi ni Mzee wa Kuzunguka na sipendi Njia ambayo imeshazoeleka kupitika kila Siku na kila Mtu?Unataka upite lami au au unataka uzungukie Malinyi utokezee Ruvuma?
Bado tunatengeneza kikosi...hahahaTusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa" amesema Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard leo katika Kipindi chao cha Asubuhi. Hivi ni kwani Duniani kuna Magari mengi tu lakini Gari ambalo Linadhaurika sana ( japo ndiyo hutumiwa na Watanzania wengi wa Kawaida na Kati ) ni la IST tu?
Mbona Mimi GENTAMYCINE mwenye usafiri wangu tu huu wa Baiskeli ya Phoenex sidharauliki kama wenye Gari za IST?
Kama una kitambi endelea kujikusanya lkn usinunue istGari ni gari ila IST ni gari ya kuanzia maisha usiige kunya kwa tembo
Ndo maana sahivi natafuta Carina TiUnajua Mimi namiliki Corolla Ila naheshimika sana mtaani maana ni gari za matajiri wazamani Ila Sasa ist ni gari iliyoyengenezwa rasmi kwaajili ya masikini ndiyo maana mafuta kananusa na pia hata ukiwa na buku Jero haukosi spea yake