kwa hii Kesi ya mh Lissu nimeamua kuwa upande wa uhaini

kwa hii Kesi ya mh Lissu nimeamua kuwa upande wa uhaini

Yaani unamshtaki mtu mhaini! Yaani adui wa Taifa, halafu unaomba kuwaficha mashahidi wa kusaidia kufungwa/kunyongwa kwa huyo mhaini! Lakini pia unaomba eti kesi iendeshwe kwa siri!!
Unataka kuficha nini hapa zaidi aibu tu na uongo?
 
JamiiForums-421272708.jpg
 
Askofu Bagonza anasema serikali Ina njama za kutaka kumuachia mhaini Lisu na ndiyo maana wanataka ifanyike gizani.

Anaendelea kwa kusema sisi watanzania (jamhuri) tunataka kesi iwe mubashara kwa ili tushuhudie mhaini (Lisu) akikutwa na hatia ana hatimaye kunyongwa.
 
Sisi wanajamhuri tunamshitaki Lissu kwa uhaini ..Lakini kwa niliyo yasikia pale mahakamani jana ni aibu tupu..

Natangaza bora niwe upande wa uhaini . Jamhuri bakini na aibu yenu
Una support yangu💪🏿✌🏿📌🔨
 
Sisi jamhuri hatuwezi kumshitaki mtu kwa kesi isiyo na mashiko waondoe nini jamhuri kwenye hii kesi
 
Ku
Yaani unamshtaki mtu mhaini! Yaani adui wa Taifa, halafu unaomba kuwaficha mashahidi wa kusaidia kufungwa/kunyongwa kwa huyo mhaini! Lakini pia unaomba eti kesi iendeshwe kwa siri!!
Unataka kuficha nini hapa zaidi aibu tu na uongo?
Kuajiriwa wakati mwingine ni utumwa,Akili unaziacha kwenu,Haini Tena wa nchi na mambo yaende Kwa siri
 
Back
Top Bottom