Kwa hii michoro ni utaratibu upi ulio sahihi wa kujenga fensi kwenye Beacon / Vigingi

Kwa hii michoro ni utaratibu upi ulio sahihi wa kujenga fensi kwenye Beacon / Vigingi

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Vibox vya bluu ni beacon

Tuwe tunajaribu kutolea ufafanuzi, sio kuandika tu mchoro flani

1734713494277.png
 
Itapendeza kama mngetoa ufafanuzi wa ziada kuondoa dhana ya kukadirio / kuotea

Jirani anatakiwa ajenge vp

View attachment 3181095
Beacon inaangaliwa sana mbele ya kiwanja. Kama kiwanja kinapakana na vingine kwa upande wa kushoto na kulia, basi ni sahihi anayeanza ujenzi wa ukuta kusogea ndani ya mipaka yake na watakaofuata wataungia tu kwenye ukuta uliotangulia kujengwa.
 
Back
Top Bottom