Sijui muambiwe marangapi Falsafa ya Diamond, haya mumeandika miaka na miaka ila Falsafa yake mumekaza fuvu kuilewa ni hivi
Mondi anatoa ngoma kwaajiri ya soko la nje na ndani pia ana ngoma kwaajiri ya Vibe.
Kuna muda ana fululiza ngoma za Vibes na za nje hizi nyingi ndio muaioelewa munasema kapotea, mfano sasahivi ukiona ngoma inaanza na "We Zombi haujui" ujie hio ngoma kwaajiri ya trend ya Sasa ndio maana unaona Pounds & Dollars haijaanza na wee zombie Ni ngoma kwaajiri ya ndani ambazo munaita nzuri.
Pia hata ma Producer ngoma za Vibes anamtumia Zombie(S2kizzy), ngoma za kusikiliza Kama Pound & Dollars, Yatakwisha nk anatumia na Producers tofauti.
Diamond amefanya hivi miaka na miaka na ndio strategy yake Kama ujaelewa kilasiku mutaendelea kuandika uzi kapotea, karudi, kapotea, karudi.