RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya muamala ndani ya mwezi.
Baada ya kama siku 25,bila kuona muamala nilifatilia tena, mtumishi mmoja mama mtu mzima wa NSSF, akaniambia ntalipwa ndani ya siku tatu. Nilisubiri siku tatu zikaisha bila kulipwa, nkamrudia Tena akasema siku iyo nalipwa kama hakutakuwa na shida ya mtandao Bank, mpaka ninavyoandika sijapata ata mia.
Nimechangia miaka mitatu,lakini kunilipa 33% ya mshahara hawataki kunilipa.
Hapa shida ni Nini?