Kwa hii scenario kipi kinachelewesha nisipate mafao ya NSSF?

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya muamala ndani ya mwezi.

Baada ya kama siku 25,bila kuona muamala nilifatilia tena, mtumishi mmoja mama mtu mzima wa NSSF, akaniambia ntalipwa ndani ya siku tatu. Nilisubiri siku tatu zikaisha bila kulipwa, nkamrudia Tena akasema siku iyo nalipwa kama hakutakuwa na shida ya mtandao Bank, mpaka ninavyoandika sijapata ata mia.

Nimechangia miaka mitatu,lakini kunilipa 33% ya mshahara hawataki kunilipa.

Hapa shida ni Nini?
 
Itakuwa wanataka unyooshe mkono kidogo
 
Acha haraka kama document zimenyooka unapata hela yako bila shida nssf wamenyooka sana sasaivi wanalipa wanachama ndani ya mwezi 1 hakuna longo longo
Mwezi umezidi mkuu
 
NSSF ofisi ya wap kaka usiogope kutaja.... me nilivuta mpunga wangu safi tu bila hekaheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…