Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

Conclusion
Kila mtanzania ni mwzi kuanzia topmost boss mpaka mtoto anayezaliwa muda huu
 
Kam una nafasi IBA ila ukumbuke KUTUBU baada ya hapo. Kisha kuwa muangalifu usikamatwe, Wezi wakubwa wakikukamata hukumu yake huwa siyo ya kitoto, utaambiwa unafungwa ili liwe fundisho kwa wengine.

Kuna amri inasema usiibe, lakini ukiiba mali ya UMMA kwani unamuibia nani hasa?
 
Kwanza mataka kuongezea kitu kimoja.

Nchi hii hata siku, HAITHAMINI Mtaji WATU.

Kama wewe uko Halmashauri X, ambako hata ukitaka kuhama ni VITA unahudumia watu 10,000 kwa kwa mwezi hakuna mchango Wala thamani utakayopewa.

Anayenufaisha serikali ndio Mnufaika.

Wewe Daktari unayehudumia wagonjwa elfu 5 kwa wiki, Mshahara wako LAKI 7 ila mtu anayefaidisha serikali directly Kama NHIF, TRA, WCF, atalipwa Milioni 4 kwa mwezi mpaka mikopo ya fanicha.

Pili, serikali haina undugu na wewe: Utajitolea sana, ila utageuka punching bag za watafuta vyeo na wanaojipendekeza huko juu.
 
Umesema ukweli mtupu
Ndio maana vijana wakipata fursa ni kukomba tuuu.

#YNWA
 
Hahaha
 
Lile neno alilotamka Bwana Yesu kuwa TOSHEKENI NA MISHAHARA YENU sjui alikuwa akigusia na kizazj hiki maana mbona kwa mshahara huu ninaojua mm kama hautoshi kutosheka nao vile.. lazima kufanyike namna uongezekeze nje ya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…