Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Niliwapigia simu airtel kuna shida ya mtandaoDuh nilidhani simu yangu ina mawenge
Hisa za watu zitayumba, strar link itayumbisha mashirikaLeo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu.
Tangu saa nne.
Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
Shida nadhani ni pote maana hapa natumia tigo na Halotel ni hovyo. Nimepata hasira balaa nikijua location yangu imeleta shida au pengine line zimeanza kuchoka maana ni za muda mrefu.Niliwapigia simu airtel kuna shida ya mtandao
Tupo wengi mkuuNikafikiri ni mimi peke yangu ndio simu yangu inasumbua.
Mkurugenzi mkuu wa Tcra ameshatoa tayari ufafanuzi .kuwa kuna changamoto ya internet kutokana na mkongo wa internet uliopitishwa baharini kupata changamoto.kwa hiyo wanaendelea kufuatilia kujuwa tatizo ni nini. Kwa maelezo zaidi waweza soma gazeti la Mwananchi la leo jumapili.Tupo wengi mkuu