Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

Mkurugenzi mkuu wa Tcra ameshatoa tayari ufafanuzi .kuwa kuna changamoto ya internet kutokana na mkongo wa internet uliopitishwa baharini kupata changamoto.kwa hiyo wanaendelea kufuatilia kujuwa tatizo ni nini. Kwa maelezo zaidi waweza soma gazeti la Mwananchi la leo jumapili.
Waulize huu muda mtandao unasumbua je vipi waliojiunga vifurushi vyao vya siku nani atawafidia muda huu unaopotea bure?
Au hujaelewa swali limekaa kitalaam sana.
 
Mkurugenzi mkuu wa Tcra ameshatoa tayari ufafanuzi .kuwa kuna changamoto ya internet kutokana na mkongo wa internet uliopitishwa baharini kupata changamoto.kwa hiyo wanaendelea kufuatilia kujuwa tatizo ni nini. Kwa maelezo zaidi waweza soma gazeti la Mwananchi la leo jumapili.
Naona hujamwelewa mtoa mada.... issue ni kwamba wamezuia watoa huduma kama Starlink, na leo tuko down, hakuna alternatives. Hayo maelezo ya TCRA hayasaidii
 
Back
Top Bottom