Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

Mkurugenzi mkuu wa Tcra ameshatoa tayari ufafanuzi .kuwa kuna changamoto ya internet kutokana na mkongo wa internet uliopitishwa baharini kupata changamoto.kwa hiyo wanaendelea kufuatilia kujuwa tatizo ni nini. Kwa maelezo zaidi waweza soma gazeti la Mwananchi la leo jumapili.

Kuna magnetic storms zitikanazo na mionzi mikali sana kutoka jua ambayo huathiri mawasiliano na pia umeme duniani. Fuatilia hili ili uweze kujua zaidi.
 
Mkurugenzi mkuu wa Tcra ameshatoa tayari ufafanuzi .kuwa kuna changamoto ya internet kutokana na mkongo wa internet uliopitishwa baharini kupata changamoto.kwa hiyo wanaendelea kufuatilia kujuwa tatizo ni nini. Kwa maelezo zaidi waweza soma gazeti la Mwananchi la leo jumapili.

Kuna "magnetic storms" zitokanazo na mionzi mikali sana kutoka Jua ambayo huathiri mawasiliano na pia umeme duniani. Fuatilia hili ili uweze kujua zaidi.
 
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu.

Tangu saa nne.

Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
Nchi za kishenzi ,zinazoongozwa na majambazi na maharamia siku zote zinahofia internet na communications .
Star link wamepigwa figisu na TCRA kuleta huduma zao Tanzania kwa sababu TCRA hawana means za kuwashurutisha kushiriki ushenzi wao ,kama upumbavu wa 2020 kipindi cha uchafuzi mkuu ,walipozima internet mwezi mzima .
Star link wanatumia satelites kueneza huduma na coverage Yao ni kubwa na reliable na mi salama kuliko hawa mamafia wa mitandao ya telecommunications humu wanaokamua wananchi kwa bei na huduma mbovu + zero usalama kwa watumiaji wa huduma
 
Yaje kufanya nini ? Bundle za buku tu shida $350 ķila mwezi nani ataweza ? Speed kinyonga ?
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu.

Tangu saa nne.

Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
Mmmm aje kufanya nini ? Kwa maisha kitanzania wachache mno wataweza $ 350 karinia 1mil mwezi .....nani ataweza ..? Bundle za buku per day tunachemsha......mlo wa jioni hatuna uhakika....kumbuka mkongo wa baharini unapitisha kila kitu kinachotoka Tanzania.....hiyo satelink ni ajili nyumbani kwako tu au very small office.....sio kama nchi
 
Usiwalaumu T

Usiwalaumu TCRA wala makampuni ya simu mkuu,there is nothing they can do.Infact Mungu aepushie mbali,hata Grid ya Taifa inaweza kuathirika.

Tatizo ni hili hapa👇

It is global.
 
We jamaa hivi huwa unajifunza vitu vipya? Yaani mtu aweke satellite angani kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu. Kwa kumbukumbu zangu Starlink alikua network provider Ukraine wakati inapigana na Urusi baada ya Urusi kuharibu mawasiliano ya Ukraine.
 
Usiwalaumu T
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu.

Tangu saa nne.

Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
Usiwalaumu TCRA wala makampuni ya simu mkuu,there is nothing they can do.Infact Mungu aepushie mbali,hata Grid ya Taifa inaweza kuathirika.

Tatizo ni hili hapa👇,it is global
 
Router yangu ya 5G ya Vodacom nilikuwa naizima na luwasha mpaka nikachoka, nikhamia ttcl mambo yakawa yanaenda safi.
 
Mkurugenzi mkuu wa Tcra ameshatoa tayari ufafanuzi .kuwa kuna changamoto ya internet kutokana na mkongo wa internet uliopitishwa baharini kupata changamoto.kwa hiyo wanaendelea kufuatilia kujuwa tatizo ni nini. Kwa maelezo zaidi waweza soma gazeti la Mwananchi la leo jumapili.
Hivi kwa uelewa wako unaweza kuamini hii taarifa yaani mikonga wa internet upate hitilafu halafu baadhi ya website unafingua na nyingine hufungui.
Serikali kwa makusudi imezuia baadhi ya website hasa twitter kutokana na mashambulizi inayopata.
 
Back
Top Bottom