Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kama paka analeta ushindi, kwa nini asitumike? Rekodi itaendelea kusomeka kwamba Simba alishinda 3-0, lakini stori za kutumia paka zitafutika maana hakuna mahali pa kutunzia rekodi hizoAlafu nyinyi Yanga matani mengine ya kibwege muache bana.
Dogo mmoja Mtopolo kaja maskani asubuhi na mapema kaambiwa nipo ndani, kufika ndani eti ananambia paka wao ana siku ya pili aonekani"
Mpira hauna kanuni Kama hiziYanga mmeingia fainali kwa mbinde tena mpaka kwa matuta.
Simba imeingia fainali ndani dk 90 kiulaini kabisa.
Nikweli kabisa.Kama paka analeta ushindi, kwa nini asitumike? Rekodi itaendelea kusomeka kwamba Simba alishinda 3-0, lakini stori za kutumia paka zitafutika maana hakuna mahali pa kutunzia rekodi hizo
Boss we ni ke au me?Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup.
Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua tunashinda hili Kombe. Nimewaona wachezaji wa Simba. Wameshachoka tayari kabla ya game.
Tusiposhinda hii game leo mimi nitatembea bila nguo.