makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hii game inaweza isha mwa kadi nyekundu.. Wachezaji wamekamiana mnoo, ni game ya tough na speed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweusi!!!???Alafu nyinyi Yanga matani mengine ya kibwege muache bana.
Dogo mmoja Mtopolo kaja maskani asubuhi na mapema kaambiwa nipo ndani, kufika ndani eti ananambia paka wao ana siku ya pili aonekani"
Yanga niachie my wangu nasema niachie simba wangu..... Mwanasimba mmoja anaimba hii ngoma pembeni yangu.Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup.
Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua tunashinda hili Kombe. Nimewaona wachezaji wa Simba. Wameshachoka tayari kabla ya game.
Tusiposhinda hii game leo mimi nitatembea bila nguo.
Mlianza kutia huruma maskinikwa kweli kikosi chetu namba mbili kimezidiwa sana
Weka picha tukuone ukitembea uchiYanga tuna bao 2 Simba 0.
Tusiposhinda hii game leo mimi nitatembea bila nguo.
Bingwa nani? Unaweweseka ukiwa wapi? Au Simba ndio imeshinda hiyo game?Weka picha tukuone ukitembea uchi
Umesoma lakini vizuri alichoahidi?Bingwa nani? Unaweweseka ukiwa wapi? Au Simba ndio imeshinda hiyo game?