GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi.
Kama Serikali watakubaliana na hili Ombi langu Tukuka GENTAMYCINE na wakachangua Adhabu ya Kutembeza Mboko / Bakora basi naiomba au nitaiomba Serikali iniachie Mimi hili Jukumu la Kuwapiga Viboko hawa Waumini Wapuuzi, Wavivu na Wazembe na nitaanza na wale wa Kawe na kule Kimara Temboni.
Haingii Akilini unamuomba Mungu akupe Maisha mazuri halafu kuanzia Saa 12 Asubuhi hadi Saa 5 za Usiku upo tu Kanisani Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni na Kazi hutaki kufanya wala tu Kujishughulisha. Halafu ukiwaona akina GENTAMYCINE na Wengineo wametusua unasema wanauza Unga au Freemasons.
Pongezi nyingi sana kwa Marais Kagame na Museveni kwani Wao walishasema wakiwakuta hawa Wapuuzi Wanaua.