Kwa hii tabia ya Walokole (hasa Waumini) wa hawa Mitume naomba Serikali ije na Uamuzi wa Kishalubela / Kikatili ili kuwadhibiti

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi.

Kama Serikali watakubaliana na hili Ombi langu Tukuka GENTAMYCINE na wakachangua Adhabu ya Kutembeza Mboko / Bakora basi naiomba au nitaiomba Serikali iniachie Mimi hili Jukumu la Kuwapiga Viboko hawa Waumini Wapuuzi, Wavivu na Wazembe na nitaanza na wale wa Kawe na kule Kimara Temboni.

Haingii Akilini unamuomba Mungu akupe Maisha mazuri halafu kuanzia Saa 12 Asubuhi hadi Saa 5 za Usiku upo tu Kanisani Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni na Kazi hutaki kufanya wala tu Kujishughulisha. Halafu ukiwaona akina GENTAMYCINE na Wengineo wametusua unasema wanauza Unga au Freemasons.

Pongezi nyingi sana kwa Marais Kagame na Museveni kwani Wao walishasema wakiwakuta hawa Wapuuzi Wanaua.
 
Haingii Akilini unamuomba Mungu akupe Maisha mazuri halafu kuanzia Saa 12 Asubuhi hadi Saa 5 za Usiku upo tu Kanisani Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni na Kazi hutaki kufanya wala tu Kujishughulisha
Muumini akitaka gari anaombewa ila mchungaji akitaka gari anaomba michango/harambee 😂

Wanyoosheni mpaka akili ziwarudi.

Mchungaji Kambi ya Fisi
 
Dini ni mtaji wa serikali.
Wengi watakushambulia ila umenena lililo jema
Binafsi nina Ndugu zangu kama Watatu hivi wako huko kwa hawa Wahuni na natamani Serikali inipe ruhusa nianze nao.
 
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi.

Kama Serikali watakubaliana na hili Ombi langu Tukuka GENTAMYCINE na wakachangua Adhabu ya Kutembeza Mboko / Bakora basi naiomba au nitaiomba Serikali iniachie Mimi hili Jukumu la Kuwapiga Viboko hawa Waumini Wapuuzi, Wavivu na Wazembe na nitaanza na wale wa Kawe na kule Kimara Temboni.

Haingii Akilini unamuomba Mungu akupe Maisha mazuri halafu kuanzia Saa 12 Asubuhi hadi Saa 5 za Usiku upo tu Kanisani Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni na Kazi hutaki kufanya wala tu Kujishughulisha. Halafu ukiwaona akina GENTAMYCINE na Wengineo wametusua unasema wanauza Unga au Freemasons.

Pongezi nyingi sana kwa Marais Kagame na Museveni kwani Wao walishasema wakiwakuta hawa Wapuuzi Wanaua.
Kagame na M7 amefuta makanisa akabakiza yale ambayo ni Machawa wake.
 
Pakuanzia ni hapa .....MUNGU AKASEMA SIKU 6 FANYA KAZI YA 7 NI SIKU YA BWANA USIFANYE KAZI .....serikali ipige marufuku ibada yoyote kufanyika zaidi ya siku moja kwa week misikitini na makanisani hii itapunguza upumbavu kwa zaidi ya asilimia 60%
 
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi.

Kama Serikali watakubaliana na hili Ombi langu Tukuka GENTAMYCINE na wakachangua Adhabu ya Kutembeza Mboko / Bakora basi naiomba au nitaiomba Serikali iniachie Mimi hili Jukumu la Kuwapiga Viboko hawa Waumini Wapuuzi, Wavivu na Wazembe na nitaanza na wale wa Kawe na kule Kimara Temboni.

Haingii Akilini unamuomba Mungu akupe Maisha mazuri halafu kuanzia Saa 12 Asubuhi hadi Saa 5 za Usiku upo tu Kanisani Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni na Kazi hutaki kufanya wala tu Kujishughulisha. Halafu ukiwaona akina GENTAMYCINE na Wengineo wametusua unasema wanauza Unga au Freemasons.

Pongezi nyingi sana kwa Marais Kagame na Museveni kwani Wao walishasema wakiwakuta hawa Wapuuzi Wanaua.
Mkuu Genta unamharibia Mama Mtaji wa Kura 2025.
 
Back
Top Bottom