Kwa hiki alichofanya Harmonize live stejini inashangaza sana kuona ukimya wa BASATA na Wizara husika, This is too much, Hatua zichukuliwe upesi

Kwa hiki alichofanya Harmonize live stejini inashangaza sana kuona ukimya wa BASATA na Wizara husika, This is too much, Hatua zichukuliwe upesi

Mbona kafanya mara chache angetakiwa apige kama mara mia.

Kwanza wewe mwenyewe umehusika kwenye kusambaza hiko harmonize alichokifanya. mimi nisingejua kama sio wewe kuweka hii video. na wewe tukushtaki wapi baada ya harmonize kuadhibiwa na basata??
 
mbona kafanya mara chache angetakiwa apige kama mara mia.


kwanza wewe mwenyewe umehusika kwenye kusambaza hiko harmonize alichokifanya. mimi nisingejua kama sio wewe kuweka hii video. na wewe tukushtaki wapi baada ya harmonize kuadhibiwa na basata??
Labda bao la pili na kuendelea Ndo unaweza piga Tako kazaaa lkn ukitafutia Cha kwanza Kwa mkao huo inakuja chap sana na Kasi kubwa unaweza jikuta umemruka yy
 
Back
Top Bottom