Kwa hiki alichofanya Harmonize live stejini inashangaza sana kuona ukimya wa BASATA na Wizara husika, This is too much, Hatua zichukuliwe upesi

Ni kweli, na hayo mambo yamefanyika usiku.
Kuna ile diamond anatomasa chuchu za zuchu
sema sheria ni changamoto haziko wazi kumtomasa mpenzi wako au mke waaandishi habari wa mchongo maana saivi kila mtu nimwandishi wa habari akishakuwa na smart phone. kuna kosa? na jee wakati wakufunga ndoa kiss the bride ukamnyonya mate mke wako napo nikosa kisheria.
 
Watasema ni kukosa maadili😀
 
Basata na police wanadili na nyimbo za uhanaharakati,hapo lazima wawe kengenza.
Ukiwataka kosoa
 
Back
Top Bottom