The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Nimezingatia. Watu wanamsumbua tu waziri.Ni intro mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezingatia. Watu wanamsumbua tu waziri.Ni intro mkuu
Tena wale walioleft group la wanaume ndio wana tabia hizoShida sio Harmonize shida ni mitandao na wana mitandao kupenda kusambaza umbea.
sema sheria ni changamoto haziko wazi kumtomasa mpenzi wako au mke waaandishi habari wa mchongo maana saivi kila mtu nimwandishi wa habari akishakuwa na smart phone. kuna kosa? na jee wakati wakufunga ndoa kiss the bride ukamnyonya mate mke wako napo nikosa kisheria.Ni kweli, na hayo mambo yamefanyika usiku.
Kuna ile diamond anatomasa chuchu za zuchu
Watasema ni kukosa maadili😀sema sheria ni changamoto haziko wazi kumtomasa mpenzi wako au mke waaandishi habari wa mchongo maana saivi kila mtu nimwandishi wa habari akishakuwa na smart phone. kuna kosa? na jee wakati wakufunga ndoa kiss the bride ukamnyonya mate mke wako napo nikosa kisheria.
Pambana na maisha yako. Wacha kufuatilia maisha ya watu.
Hio ndio style gani wakuu? Au ndio popo kanyea nini sijui!!!!!!!!!!???
njoo tufanye kama hivyo🤣🤣🤣Sasa hapo tafsiri yake kimziki sijui ni ipi
Thubutu 🤣njoo tufanye kama hivyo🤣🤣🤣
unaogopa nini sasa sisi tutafanyia faragha...sio hadharani🤣🤣🤣Thubutu 🤣
Sidanganyiki asee 🤣unaogopa nini sasa sisi tutafanyia faragha...sio hadharani🤣🤣🤣
Mkuu hii show imewaathiri vipi watu na watoto? Ilionesha kwenye kituo gani cha television?
Inaitwaje hio style?Yaan humu Watu ni watumiaji wazuri wa hii style lkn mnavolaaani sasa humu jukwaani.....