Kwa hiki alichoimba Hamisa Mobetto, nitashangaa kama BASATA watamuacha hivihivi

Kwa hiki alichoimba Hamisa Mobetto, nitashangaa kama BASATA watamuacha hivihivi

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,278
Reaction score
1,794
Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo.

Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina Darasa, au kina Ferouz au kina Profesa Jay ndo yamepotea kabisa.
 
Kitu ambacho kinachonishanganza mtoa mada anaomba ngoma ya Hamisa ifungiwe kwasababu ina matusi alafu yeye pia Ni mtukanaji mzuri Sana humu jamvini kwanini nawewe usiombe mod wawe wanakufungia ukitoa matusi
 
Yule anaesema

Naandaa kiberiti niwashe moto,Baba leta Ukuni

hizi line kwenye hii miziki yao nani anawashauri kuziweka au ndio sifa?
 
Mpaka nimeona aibu kusikiliza huu wimbo , hamisa hajui kuimba akazane na Urembo, Tatizo hamisa ana tabia ya kupenda vitu visivyompenda

Wimbo wake kidogo ninaoukubali ni ule wa SAWA pale alikua anakuja kuja, ila had sasa ni utopolo akazane tu kumsifia Diamond ndo kipaji chake
 
Back
Top Bottom