Kwa hiki alichoimba Hamisa Mobetto, nitashangaa kama BASATA watamuacha hivihivi

Kwa hiki alichoimba Hamisa Mobetto, nitashangaa kama BASATA watamuacha hivihivi

Ww nawe utopolo. Haya mtadanga pamoja. Kuna mwanamke alokua hataki ndoa? Kama hataki manaake ni mdangaji.
Sasa udangaji wa Mobeto sisi unatuhusu nini?

Eti atakuwa haolewi, unajuaje anataka kuolewa?

Kama una hakika anataka ndoa nenda basi muombe akuoe!
 
Sasa udangaji wa Mobeto sisi unatuhusu nini?

Eti atakuwa haolewi, unajuaje anataka kuolewa?

Kama una hakika anataka ndoa nenda basi muombe akuoe!
Kamsaidie kudanga kama unaona anafaidi. Hopeless!!!
 
Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo.

Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina Darasa, au kina Ferouz au kina Profesa Jay ndo yamepotea kabisa.

Na ww Hamisa tunajua ni mdangaji ila kwa wimbo huu ndo usahau tena suala la ndoa.
Hamisa baada ya kukataliwa na Mama Diamond anatafuta kiki ya kutoka. Huyu si msanii ni mdangaji tu.
 
Sasa udangaji wa Mobeto sisi unatuhusu nini?

Eti atakuwa haolewi, unajuaje anataka kuolewa?

Kama una hakika anataka ndoa nenda basi muombe akuoe!
Anataka sana kuolewa ila na Diamond tu bahati mbaya Mama yake domo kamtolea makavu live kuwa ukoo wao umejaa na yeye kama Mama hataki mwanawe aoe au aishi na changu.
 
yna2 mziki una maana kwake ndio maana anaufanya labda useme mziki umpendi japo yeye anaupenda kwamaana Hana kipaji Cha mziki hapa nitakuelewa.

Kweli kipaji cha mziki hana,ingawa ana muonekano mzur sana kuwa mwanamuziki,she is a package ila tu kipaji akubal hana,aendelee na uanamitindo maana hata uugizaj sio mzur
 
Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo.

Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina Darasa, au kina Ferouz au kina Profesa Jay ndo yamepotea kabisa.
Acha waimbe tu maana wanahamasishwa na yule bwana wa ccm anayewauliza wanawake wapanuliwe wapi
 
Kuna watu wanaimba maisha yao, sasa wewe iga uone upakiwe vumbi la kongo.
 
Nyimbo zote alizoimba Hamisa hii amekuwa kimuziki pamoja na mistari ya kukwaza..
 
Back
Top Bottom