silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Wimbo hauna maadili kabisa, yaani utopolo mtupu. Siwezi kuweka hapaWeka wimbo bro tusikie tuliopo huku kolomije
Wimbo hauna maadili kabisa, yaani utopolo mtupu. Siwezi kuweka hapaWeka wimbo bro tusikie tuliopo huku kolomije
Ha haaa. Ni kweli nimepoteza Mb bure.Hivi umewezaje kuskiliza hizo takataka?
Kweli watu mna mb za kupoteza
Kazi ya mwenzako unasemaje Ni takataka mbona ya kwako ijaitwa takataka hiv kwanini mzee baba una lugha chafu Sana?Hivi umewezaje kuskiliza hizo takataka?
Kweli watu mna mb za kupoteza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo mziki sio Jambo la maana?Haka katoto kangewekeza tu pesa zake Kwenye mambo ya maana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila wa2Samahani sana waku....
Hivi ndio nani huyo anaejadiliwa hapa...[emoji848][emoji848]