Kwa hiki alichoimba Hamisa Mobetto, nitashangaa kama BASATA watamuacha hivihivi

Atakwambia ametundikwa mimba tatu na simba zikachoropoka
 
Kitu ambacho kinachonishanganza mtoa mada anaomba ngoma ya Hamisa ifungiwe kwasababu ina matusi alafu yeye pia Ni mtukanaji mzuri Sana humu jamvini kwanini nawewe usiombe mod wawe wanakufungia ukitoa matusi
Mkuu nimemtukana nani?
 
Kwani aliwahi kusema ana dream ya kupata ndoa?
 
Ukiskiliza wewe inatosha usitulazimishe
Mwanaume mzima niskilize eti "nawashwa nipakie vumbi la mkongo"

Kweli wanaume tumeisha
pancho boy Ila ile ya acha nizame ya Nandy na Harmonize dio unaisikiliza? au ya maua sama iokote "anakwambia nikikuona baby napandwa na haja"
 
Vip GUSANISHA ya G nako na Maua Sama, ifungiwe?
 
Lini nilisema nimeskiliza?
Kwasasa sikuambii kitu bahati nzuri wewe unatabia ya kujitoa ufahamu au kusahau unachokiamini au ulichowahi kucomment hivyo nimeifadhi vizuri nitakukamata muda si mrefu so uwe careful kwenye kutoa hoja zako humu jamiiforum kuanzia sasa soon ukiteleza mafaili yako yatakuwa open
 
Jibu ni kwamba huna ushahidi ..Mimi sio takataka kama wanawake wenzio hao wadangaji wanaojiita wanamuziki..

Mimi ni mwanaume mwenye msimamo usinilazimishe kusikiliza takataka nyenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…