Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

Huyu jamaa nadhani TCRA, TFF na EFM wameishamlea kwa kiasi cha kutosha. Kinachotakiwa sasa ni wanaSimba kujichukulia sheria mkononi tumtie adabu hadi akili zimrudie huyu umbwa!
Adhabu ya Kinukudi aipatayo huko Finland, USA na UAE ( Dubai ) inatosha Mkuu.
 
Una Kicheko cha waliwa 'Nukudi' vipi nawe 'Unanukudiwa' labda?
Dogo acha dharau, kuwa na heshima sio kila mtu unamtukana.

Sija kujibu wala kukukoti popote pale inakuwaje unakoti kwangu.

Acha izo aisee
 
Dogo acha dharau, kuwa na heshima sio kila mtu unamtukana.

Sija kujibu wala kukukoti popote pale inakuwaje unakoti kwangu.

Acha izo aisee
Hebu nitokee hapa Mpuuzi na Mnafiki Mmoja Wewe sawa?
 
Kumbe sikukukosea Kukudharau awali.
Jiangalie mwezi wa 3 2023 unatimiza miaka 50 ,harafu bado unatuletea story za lubino huyo zann unamkuza bilasababu lete story za chama letu Simba ,je kocha wetu MGUNDA atatuvusha au ndobasi tena
 
TFF na Karia wenu hatamfanya nini Maulidi wa Kitenge.Manara bado ana mkataba na Yanga.hajafukuzwa.wanayanga hawataruhusu afukuzwe.
 
Jiangalie mwezi wa 3 2023 unatimiza miaka 50 ,harafu bado unatuletea story za lubino huyo zann unamkuza bilasababu lete story za chama letu Simba ,je kocha wetu MGUNDA atatuvusha au ndobasi tena
Rubbish.
 
Naunga mkono
 
Naunga mkono
Ningeshangaa Mtu Smart kama Wewe kutonielewa au kunipinga katika hili kama walivyofanya Majuha ( Fools ) waliochangia Kimhemko wa Ushabiki wa Yanga SC na siyo kuangalia kwa mapana Uhalisia wa Jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…