Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki


Ahahahaha yaani ndio nimeamini kweli 70% ya Watanzania hawana AKILI kabisaa!!Yaani eti lijitu linapanick kabisa kisa Diamond kumshabikia Magufuri khaaaa!

Yaani utampigia kura Magufuri eti kisa Diamond amemposti?!kweli mitaahira ni mingi kuliko nilivyodhania!!!yaani mijitu inaakili za kushikiwa tena sio kidogooo!

Bora sasa tumejua Kipi Purity na Kipi ni Impurity ahahahahaha!Plastic Fans wacha waende mumy mzurimie sisi mashabiki wa muziki na sio siasa tutabaki kama kawaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ni upuuzi wa hali ya juu sana kumpangia diamond mtu wa kumsapoti.mnaonesha ni jinsi gani mlivyojaza matope kichwani.
 
Baada ya uchaguzi utarudi tuu...

Diamond nae ni mtanzania, ana haki kikatiba, kidemokrasia kushabikia chama chochote akitakacho.
Ushabiki ni kushabikia muziki wake, misimamo yake ya kisiasa mwachie mwenyewe....

#team dangote

Mkuu unachosema ni kweli na hamna mtu aliyepinga na kumnyang'anya haki yake kikatiba isipokuwa alitakiwa abaki nayo moyoni mwake mwenyewe kama ilivyo kwa wengine..ukizingatia na nature ya kazi yake ni MUZIKI na sio siasa...mfano:mondi angebaki na CCM moyoni mwake hadi OCTOBER akawape kura yake...yote haya yangetoka wapi? na pia mfano:nikikuuliza MSANII JUX yupo chama gani utanambiaje?..na kama yupo kimya katika hilo ni kwamba AMENYIMWA na AMENYANG'ANYWA haki yake kikatiba au???
 

Nimekupenda mwaya lo umesema kitu kinachosomeka hata Mtoto chini ya miaka 18 ataelewa.
 

Sijawahi kuona mtu mjinga duniani kama wewe.hivi diamond yeye ajifiche asiseme chama au mgombea anayemtaka ili iweje? Uliwahi kuona wapi hii style hapa duniani? Akili yako ni sawa na bata.
 

Umemweleza vyema!
 

Ungekuwa karibu ungekula savannah 3 bariidiii
 
Mbona alipokuja kumpigia kampeni lowassa arusha hamkuongea.punguzeni mahaba ya kisenge.kila mtu ana uhuru wa kuchaguwa Chama anachotaka.kama hujapenda lala mbele wengine wamependa.
 
Ana haki lakin aangalie wao wenyewe kazi zao zinaibiwa,hawana hatimiliki,wanadanganywa na dinner ya ikulu,basi angeuchunaa,yaan hivi kaniudhi kanitoka puuuuu

Alafu siku ile pale M.CITY wanaanbiwa na JK eti "NITAJITAHIDI KUKAMILISHA SWALA LA HATIMILIKI KATIKA KIPINDI HIKI KILICHOBAKI KATI YA SASA NA OCTOBER NA IKITOKEA SIJAKAMILISHA RAISI AJAYE AKIWA MAGUFULI ATA MALIZIA HILO"...nao wamedanganyika kweli bila KUFIKIRIA HAO CCM WAMESHINDWA KUTIMIZA HILO KIPINDI CHOTE WALICHOTAWALA NDO IWE MUDA HUU ULIOBAKIA...
 
Mbona alipokuja kumpigia kampeni lowassa arusha hamkuongea.punguzeni mahaba ya kisenge.kila mtu ana uhuru wa kuchaguwa Chama anachotaka.kama hujapenda lala mbele wengine wamependa.

Ahhaha wasikuumize kichwa hayo magendaeka yasiyojielewaaa!Kila mtu anautaratibu wake wa maisha iweje wao wampangie Diamond cha kufanya?!

Lazima tukubaliane kutokukubaliana!!Watu wanataka Shortcut always,hawataki kujituma kabisaaa!pesa kidogo ikipatikana basi wananywea Pombe na kununua Carolight/Dodo na bata bila kikomo halafu baadae anaanza kumlilia Diamond kisa ampost Magufuri Chaaaaaa!!

Wakwende zaooo wala hatuna habari naooo tena kimpango waooo
 
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!
Wakulima wenzako washaota sugu kwa mgongo was kilimo kwanza wakati pembejeo ziko mjini..
 
Niliipenda Chadema kwa misingi na utetezi wake kwa watanzania na rasilimali za Taifa.

Lakini mpaka sasa Sioni tofauti kati ya ccm na Chadema.

Wakati ccm wanalea mafisadi Chadema wanasafisha mafisadi, kuna tofauti gani hapo.?

Binafsi sina hisia zote zozote na uchaguzi wa Mwaka huu.

Mwacheni Diamond atumie fursa, maana inaonekana maisha ya mtanzania kuja kubadilika kupitia mwanasiasa ni Kazi ngumu.

Tunaimba wimbo mmoja miaka kadhaa wanakuja kutugeuka kwa dakika kadhaa.!
 
mambo mengine kuyaelewA hajaitaji nguvu sana ni swala la kujiongeza,sema hawa celebs wetu pumbaz..?!
 
Tatizo watanzania wengi akili tumewakabidhi wanasiasa.

Ni upumbavu kumchagulia mtu chama cha kushabikia, tena vyama vya Tanzania visivyo na tofauti kipi upinzani kipi chama Tawala.
 
Last edited by a moderator:
Msanii km diamond kutokana na ukubwa wake angebaki neutral coz yy ana mashabiki wa pande tofauti hata km yy ni anaisapot ccm
 
mm ni mpenzi mkubwa xn wa diamond ila kwa hakika alicjofanya c sahihi! yule dogo boya tu
 
Kwaiyo kuwa shabiki wa Dimond ndio lazima apende unachotaka wewe? Kila mtu anamaamuzi yake kwa sababu zake. Kuacha kumshabikia kwa sababu iyo sidhani kama ina mantiki labda kama unasababu zako nyingine

Ni hivi swala sio MONDI KUFUATA WAKIPENDACHO MASHABIKI ILA ILITAKIWA ABAKI NALO MOYONI HILO ANALOLIPENDA HADI OCTOBER-25TH AKAWAPE KURA YAKE NA SIO ALIVYOFANYA MAANA KWA TAFSIRI RAHISI ALICHOFANYA NI KUSHAWISHI WATU HASA FOLLOWERS WAKE JUU YA KUMCHAGUA MAGUFULI...ALAFU KWANINI IWE MARA BAADA YA HAFLA YA M.CITY NDO AFANYE HAYO KAMA SIO KUNUNULIWA KWA MLUNGULA AU AHADI FEKI ILI WAWASHAWISHI WATZ???..MAANA WASANII WANA USHAWISHI MKUBWA KWA JAMII INAYOWAZUNGUKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…