Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
we kichaa kweli wewe
anaweza akawa kichaa kweli...lakini umewezaje kumjua kama nawewe sio kichaa mwenzie?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we kichaa kweli wewe
Wewe tu Dina na roho yako na maisha yako,safari njema huko uendako na sie Blood and Iron Fans bado tupo na tutalisongesha kama kawaidaa!!mumewangu nyumbani tumetofautiana vyama lakini hatuwezi kuvunja ndoa kisa Lowasa na Magufuri labda tuwe vichaaa!!
Acha uzembe na fanya kazi kwa bidii maisha yatakunyookea ewe kijana wa kitanzania,Lowasa hatokupa pesa mkononi wala kukupangia nyanya sokoni na wala hatokuwekea material kichwani!
Diamond ana maamuzi na sababu zake!na wala hajalazimisha mtu afate anachotaka yeye!Kila mtu yuko huru kupenda anachokiamini yeye
Kuacha kwako kumshabikia Diamond hakutoleta madhara yeyote yale kwa Team Diamond na Diamond mwenyewe ndio kwanzaa Nanga Inapaa!
Bye byeeee Dinaaaa!
Tatizo watanzania wengi akili tumewakabidhi wanasiasa.
Ni upumbavu kumchagulia mtu chama cha kushabikia, tena vyama vya Tanzania visivyo na tofauti kipi upinzani kipi chama Tawala.
Ni hivi swala sio MONDI KUFUATA WAKIPENDACHO MASHABIKI ILA ILITAKIWA ABAKI NALO MOYONI HILO ANALOLIPENDA HADI OCTOBER-25TH AKAWAPE KURA YAKE NA SIO ALIVYOFANYA MAANA KWA TAFSIRI RAHISI ALICHOFANYA NI KUSHAWISHI WATU HASA FOLLOWERS WAKE JUU YA KUMCHAGUA MAGUFULI...ALAFU KWANINI IWE MARA BAADA YA HAFLA YA M.CITY NDO AFANYE HAYO KAMA SIO KUNUNULIWA KWA MLUNGULA AU AHADI FEKI ILI WAWASHAWISHI WATZ???..MAANA WASANII WANA USHAWISHI MKUBWA KWA JAMII INAYOWAZUNGUKA.
hujanielewaaa ipo siku utanielewa na stegemei ccm inipe hela yaan kwa kifupi hujanielewa,kwa heri pia
Yan simpigii tena kura huko kwenye Awards!!!!!!!!! Bora angekua netral kuliko kujionyesha waz waz wakat anajua mashabik wake wako vyama tofaut tofaut
Na HILI NDILO NILOKUWA NASISITIZA MIE KUWA "TATIZO SIYO YEYE KUWA CCM BALI KUJIEXPOSE WAKATI KWA KAZI YAKE YA MUZIKI ANAPATA SUPPORT KUTOKA KWA MASHABIKI WENYE ITIKADI TOFAUTI ZA KISIASA"...HIVYO ALITAKIWA KUBAKI NALO MOYONI HADI OCTOBER-25TH AKAWAPE KURA YAKE THEN MCHEZO UISHE MAANA KWA ALICHOFANYA AMEWAGAWA FANS.
huwa inafikia extent,mtu unapata mtazamo juu ya baadhi ya hawa waitwao celebritz wa bongo,wengne washakuwa kama jingaz hadi kufikia hatua ya kupost sura za wagombea kutoka upande was manjaro bila kujua ni kwajinsi wanaupotosha uma unaohitaji mabadiliko...?!
kamshabikie ali kiba ccm hatutaki watu wavivu na marufuku kucheza nyimbo zake
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.
Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.
Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?
Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.
CCM tumewachoka!
Cc heaven on desert, TeamLowassa
Mkuu unachosema ni kweli na hamna mtu aliyepinga na kumnyang'anya haki yake kikatiba isipokuwa alitakiwa abaki nayo moyoni mwake mwenyewe kama ilivyo kwa wengine..ukizingatia na nature ya kazi yake ni MUZIKI na sio siasa...mfano:mondi angebaki na CCM moyoni mwake hadi OCTOBER akawape kura yake...yote haya yangetoka wapi? na pia mfano:nikikuuliza MSANII JUX yupo chama gani utanambiaje?..na kama yupo kimya katika hilo ni kwamba AMENYIMWA na AMENYANG'ANYWA haki yake kikatiba au???
mambo mengine kuyaelewA hajaitaji nguvu sana ni swala la kujiongeza,sema hawa celebs wetu pumbaz..?!
Ahahahaha yaani ndio nimeamini kweli 70% ya Watanzania hawana AKILI kabisaa!!Yaani eti lijitu linapanick kabisa kisa Diamond kumshabikia Magufuri khaaaa!
Yaani utampigia kura Magufuri eti kisa Diamond amemposti?!kweli mitaahira ni mingi kuliko nilivyodhania!!!yaani mijitu inaakili za kushikiwa tena sio kidogooo!
Bora sasa tumejua Kipi Purity na Kipi ni Impurity ahahahahaha!Plastic Fans wacha waende mumy mzurimie sisi mashabiki wa muziki na sio siasa tutabaki kama kawaaaa
Umenivunja mbavu wamekusomaaaaaaaa
ndio sasa watabidi wajue haswaaaaaa muziki ni kazi kama wafanyazo wao na kufanya maamuzi yao ya Diamond hawana aibu kujifanya wanaponda kumbe wanamkubaliiiiiiiiiiii hadi...... umenena yote hapo juuu
mbavu zangu
kweli sie na muziki haswaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Diamond oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
huyo domo atajutia uamuzi wake time hii.......mimi pia nimejivua ushabiki....siwezi kushabikia mtu anayesaliti mamilioni ya watanzania maskini kisa yeye kapewa chai ya maziwa
mm ni mpenzi mkubwa xn wa diamond........kuanzia lini??