Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

DIAMOND wewe ni mtu mkubwa sana ktk TZ, hakuna dakika inayoenda bila jina lako kuwepo kwenye mitandao au magazeti,radio na tv na kila jambo lako ni mjadala wa kitaifa je alishatokea msanii kama yeye ???? mimi nasema hajawahi kutokea.Back 2 the mada ni hivi DIAMOND ATAKUWEPO SIKU YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MWENZENU KESHAVUTA MKWANJA TENA MREFU MNO KULIKO MUNAVYOFIKIRI NYINYI HELA AMBAYO AJAWAHI KUIPATA KTK SHOO ZA TZ. JAPO MIMI NI UKAWA ILA NAMUELEWA YEYE ANAFANYA KWA AJILI YA KAZI SI VINGINEVYO.
 
Duh huyo Diamond nae ni binadamu kama wengine anautash wake jamani. Kwa hiyo unataka asapoti UKAWA kwa vile mashabiki wake wako ukawa. Hii sasa kuingilia utashi wa mtu duh
 
Yani nmeshangaa kuona huko IG wanavyo mpapromo magufuli ni hataree
 
Kijana anajua kutumia fursa ipasavyo,cio mpuuzi yule awe mrahisi kihivyo kujirisk ktk kazi yake kwa ajili ya wanasiasa.cku zote anasema,anafanya kazi yenye maslahi kwake.

Sawa mkuu tuseme analinda kazi yake ila hamkubali magufuli,wewe unafikiri kwa kupost vile atakuwa ameshawishi na kuwachagulia watu wangapi kumkubali magufuli?
 
DIAMOND wewe ni mtu mkubwa sana ktk TZ, hakuna dakika inayoenda bila jina lako kuwepo kwenye mitandao au magazeti,radio na tv na kila jambo lako ni mjadala wa kitaifa je alishatokea msanii kama yeye ???? mimi nasema hajawahi kutokea.Back 2 the mada ni hivi DIAMOND ATAKUWEPO SIKU YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MWENZENU KESHAVUTA MKWANJA TENA MREFU MNO KULIKO MUNAVYOFIKIRI NYINYI HELA AMBAYO AJAWAHI KUIPATA KTK SHOO ZA TZ. JAPO MIMI NI UKAWA ILA NAMUELEWA YEYE ANAFANYA KWA AJILI YA KAZI SI VINGINEVYO.
watu wanafikiri chibu ni mpuuzi, tumwache apige pesa kijana.
 
Sina chuki. Infact mm ni mshabiki mkubwa sana wa Mondi. Ila kwa nature ya kazi yake, asingetakiwa kufanya hivi.
Ila sio kosa lake maana naona leo wasanii wote wamenunuliwa. Kila mtu leo imekuwa #hapakazitu

Ila mkuu pale mondi kasema ambaye ana hoja zake aweke naye atampa facts, sasa huku ulikoleta hii thread mtapeana facts kivipi!? Au ndio unasambaza chuki zako!!? Acha hizo mkuu na tambua ukimjengea chuki mwenzio na wewe ipo siku yatalukuta tuu whether you like it or not. Kwahiyo pale mtaani kwenu mangi akisema anamkubali magufuli ndio bas tena mnahama na duka.... Mungu kakupa ubongo kwa ajili ya kufikiria jinsi ya kupigana na maisha sio kufikiria chuki
Fanya yako coz ashasema nothing gonna change his mind.
 
Bila Shaka kuna maslahi aliyopata ktk hilo.

Mkuu tena maslah binafsi kutoka kwa #JK maana kwa kipindi cha miaka 54 ya uhuru wasanii wangapi wamefika Pale alipo yeye?..kama wanafika hata watatu wenye mafanikio yake niambie hapa sasaivi nione tena yeye menyewe kafika pale kwa JUHUDI ZAKE NA SIO SERIKALI YA CCM...kwa hiyo asijidanganye kuwa CCM inawajali wasanii kwa kuwaita mlimani City na kuwapa ubwabwa na wine badala ya HAKIMILIKI YA KAZI ZAO!
 
My point is, asingeonesha wazi maana itamletea effect kwenye kazi zake za kimuziki.
Just imagine saiv mashabiki washaanza kampeni ya kutompigia kura kwenye tunzo anazoshiriki. Na nimepitia comments za mashabiki, 90% hawakufurahishwa na kitendo hicho. Unategemea nn? Wakati kura za washabiki ndo zinampa ushindi katika tunzo?

Pindi akipoenda Arusha kwa Lowasa mbona hamkuandika huu ujinga sasa nyinyi UKAWA si mumpigie kura DAVIDO kama kwenye MTV tuwanyooshe tena afu sio daimond tu wasanii kibao wameweka hiyo logo mbona hujawaandika? We kama ukawa ni kibaka tu na Magufuli atawanyoosha tu!
 
View attachment 278080Time will tell kila kitu kina taifa na hasara zake wajanja huuusoma kwanza upepo na mchezo ulivo

Unachosema ni kweli DIVA...NAMIMI NIMEPENDA SANA MSIMAMO WA MSANII RAY JUU YA USHABIKI WA SIASA WANAOFANYA WENZIE KWENYE SOCIAL MEDIA,Maana upepo hadi sasa hausomeki alafu yeye anapost ujinga kama ule...NA JE UKAWA WAKICHUKUA NCHI OCTOBER ANAJIWEKA KATIKA MAZINGIRA GANI KUHUSU KUPATA SUPPORT KUTOKA KWA SERIKALI YA UKAWA?...NA NDIO MAANA NIKASEMA HAKUPASWA KUONYESHA FEELINGS ZAKE ZA UCHAMA KUWA WAZI KIASI KILE IKIWA YEYE NI MTU MWENYE TITLE KWENYE JAMII NA MWENYE KAZI TOFAUTI KABISA NA SIASA MAANA INAJULIKANA ANAFANYA MUZIKI NA SIO SIASA!
 
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.
diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.

Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.

Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
namuonea huruma sana

Acha unafiki kwani ww huna mgombea unayemtaka?? Au unataka unaemshabikia ww ndo na yy amshabikie
 
Unachosema ni kweli DIVA...NAMIMI NIMEPENDA SANA MSIMAMO WA MSANII RAY JUU YA USHABIKI WA SIASA WANAOFANYA WENZIE KWENYE SOCIAL MEDIA,Maana upepo hadi sasa hausomeki alafu yeye anapost ujinga kama ule...NA JE UKAWA WAKICHUKUA NCHI OCTOBER ANAJIWEKA KATIKA MAZINGIRA GANI KUHUSU KUPATA SUPPORT KUTOKA KWA SERIKALI YA UKAWA?...NA NDIO MAANA NIKASEMA HAKUPASWA KUONYESHA FEELINGS ZAKE ZA UCHAMA KUWA WAZI KIASI KILE IKIWA YEYE NI MTU MWENYE TITLE KWENYE JAMII NA MWENYE KAZI TOFAUTI KABISA NA SIASA MAANA INAJULIKANA ANAFANYA MUZIKI NA SIO SIASA!
Tatizo la wasanii wetu ni kutokujiamini na kujisimamia misimamo yao wanakubali kutumika kipindi hichi aliyechukua deal anafaidika wasanii hela kiduchu hata wakiporomoka yeye hawajali tena. Kisa wanatishiwa nyimbo kutopigwa wangeunga umoja wa kudai haki zao bila kumwangua mungu mtu wa wasanii wangefika mbali na wananchi wangewapa fool support.
Sasa wao wa nadhani kuwa na followers ndo mwisho na wanaweza kuchange minds za watu. Watu wengi wanawapenda wasanii kwa kazi na sio siasa. Mwaka mguu huu hali ngumu kwa ccm chances ni fifty isije ikala kwa wasanii mana vijana ndo support muhimu kwao.
 
View attachment 278080Time will tell kila kitu kina taifa na hasara zake wajanja huuusoma kwanza upepo na mchezo ulivo

Kuna vitu vingine ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu, hivi Diamond naye ni mtu kulipwa laki tatu? Hivi mtungaji wa hiyo propaganda alikaa chini akawaza weeeee akaona laki tatu ndio kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata Diamond anaweza akalipwa ili kumshabikia Magufuli?
 
Hawa wasanii njaa sana hawajielewi kbs watu wanadhurumiwa kazi zao na serikali leo hii wamepewa pesa wanawasapoti wanasiasa hawa vipi hawa

Yani mkuu kijana hajielewi kwa kweli maana ALISHAWAI KULALAAMIKIA TIGO WANAWADHULUMU WASANII KWA KUWAPA PESA KIDOGO KUPITIA HUDUMA YA "TIGO CALLER TUNES" ALIYASEMA HAYO BAADA YA KULIPWA NA TIGO MILLION.39 WAKATI TIGO WAO WAMEINGIZA BILLION.37 MAPATO YAO YA MWAKA KUPITIA HUDUMA HIYO...WAKATI HUO HUO SERIKALI YA CCM IKIWA INATOZA KODI NDOGO MITANDAO YA SIMU KULINGANISHA NA WANACHOINGIZA...KWA HIYO SERIKALI YA CCM INAFAHAMU KUWA WASANII WANANYONYWA NA MAKAMPUNI YA SIMU ALAFU WANATOZA KODI NDOGO KWA MAKAMPUNI HAYO THEN LEO HII ANASUPPORT CCM MCHANA KWEUPE HIVII.
 
Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Inawezekana ina maslahi kwake, lakin ni maslah ya muda mfupi na yanaweza kumuathiri baadae kimuziki..

Yah!...ni kweli mkuu mwenye shibe hamjui mwenye nj'aa kabisa maana KIJANA ANASUPPORT CCM ILI WAMPE SHOW ZA KAMPENI AMBAYO NI KWA MASLAHI YAKE BINAFSI BILA KUANGALIA MASLAHI MAPANA YA TAIFA NA RASILIMALI ZAKE KWA UJUMLA AMBAZO ZINALIWA NA MCHWA(CCM) KILA KUKICHA.
 
Kuna vitu vingine ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu, hivi Diamond naye ni mtu kulipwa laki tatu? Hivi mtungaji wa hiyo propaganda alikaa chini akawaza weeeee akaona laki tatu ndio kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata Diamond anaweza akalipwa ili kumshabikia Magufuli?
Sio laki Tatu tu na matisho juu lisemwalo lipo kama halipo laja wasanii wakiendelea kutumika bila hati miliki lazima ile kwao. Na msanii huwezi Ku shine siku zote sasa wao kuhadaika na ubwabwa wa Mlimani city i feel sorry for them.
 
Sawa mkuu tuseme analinda kazi yake ila hamkubali magufuli,wewe unafikiri kwa kupost vile atakuwa ameshawishi na kuwachagulia watu wangapi kumkubali magufuli?
msafara wa mamba,kenge nao wamo,sasa kenge mwenyewe akiwa mkubwa na ushawishi mkubwa,tegemea vikenge vingi kuunga tela.
 
DIAMOND wewe ni mtu mkubwa sana ktk TZ, hakuna dakika inayoenda bila jina lako kuwepo kwenye mitandao au magazeti,radio na tv na kila jambo lako ni mjadala wa kitaifa je alishatokea msanii kama yeye ???? mimi nasema hajawahi kutokea.Back 2 the mada ni hivi DIAMOND ATAKUWEPO SIKU YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MWENZENU KESHAVUTA MKWANJA TENA MREFU MNO KULIKO MUNAVYOFIKIRI NYINYI HELA AMBAYO AJAWAHI KUIPATA KTK SHOO ZA TZ. JAPO MIMI NI UKAWA ILA NAMUELEWA YEYE ANAFANYA KWA AJILI YA KAZI SI VINGINEVYO.

Diamond ni mtanzania kama watanzania wengine, ana haki kuonyesha mapenzi yake.
Jay z na Beyonce www alimsupport Obama waziwazi.
Ingawa hii inawaumiza mashabiki zake wa UKAWA.Nadhani ameona mbali kibiashara, CCM na siasa chafu na mabavu ina uwezekano mkubwa mno CCM wakarudi madarakani.Hana cha kupoteza domo.
 
Back
Top Bottom