Ikumbukwe kuwa diamond is a businessman and biashara yake kubwa kabisa inayomuingizia pesa ni muziki sasa kama alipewa kazi na CCM unataka asiifanye kisa nini kumbuka biashara yake haichagui nani wa kumuhudumia he is like the whole seller na sio Niche businessman
Domo ana dharau kisa yy katoka kimaishaa ila nini ikulu hataenda tena ngoja tubebe nchiii
Domo namfananisha na mshikaj wangu wa kitambo marlaw
Kuna limit katika kuyafanya hayo
Asikudanganye mtu....Anavyoanza kutazamwa na watu ni tofauti na mwanzo
Binafsi i will never vote for him again kwenye tuzo yoyote...Wampigie vote wana CCM wenzake
Wewe ngoja habali yake inaisha mwezi wa kumi.
Amezoea kwenda ikulu kama chooni eeeh.. ikulu itaiona kwa nje
Nakuambia cute b... Kuna kitu watu hawajastukia kuwa kale kahafla ka mcity kalikuwa kana lengo la kuwahadaa na kupanga mipango ya jangwan!!!!
Wewe sio ccm mkuu? Nimeona rangi ya kijaniii ila sijasoma coz nina aleg na iyo rangi
Siko CCM....Hio rangi iko ki mkakati...CCM madhubuti imeshakufa
Wow kwa hilo nipo upande wako mkuu
Nimepoteza imani na diamond.nilikuwa nampigia sana kura kwenye vipengele vyote alikuwa anashindanishwa lakini kwa kuwa ameonyesha dhahiri siyo impartial simwamini tena
We lofa kuna tofauti kati ya 2010 na 2015!Hapa nazungumzia katunga kabisa nyimbo kutukana wapinzani. 2010 alikuwa mburudishaji wa kawaida, na ilitakiwa aendelee katika mfumo huo. Unapiga hela unaenda zako. Yoyote anaekuja na hela unachukua hela unafanya kazi unapita hivi, sasaiv yeye ameamua kuwa kada.. Tutaona, nitakuja kuwakumbusha haya hapa..
Msanii hutakiwi kuonyesha hisia zako za kiitikadi za siasa moja kwa moja kama alivyofanya Diamond.Kumbuka wanaosikiliza kazi zako si wa chama unachoshabikia tu bali ni wafuasi wa vyama vingine na wengine hawana vyama.Angekuwa ''neutral'' tu.
Tunafahamu kuwa yeye ni mjasiliamali kupitia muziki isingekuwa rahisi kwake kukataa pesa.Angeenda pale afanye kazi yake na kuondoka na si kuanza kubeza upande wa pili wa wapinzani.
Nami pia naona anguko la kimuziki la Diamond baada ya muda mfupi mbele.