Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Ikumbukwe kuwa diamond is a businessman and biashara yake kubwa kabisa inayomuingizia pesa ni muziki sasa kama alipewa kazi na CCM unataka asiifanye kisa nini kumbuka biashara yake haichagui nani wa kumuhudumia he is like the whole seller na sio Niche businessman

Kuna limit katika kuyafanya hayo

Asikudanganye mtu....Anavyoanza kutazamwa na watu ni tofauti na mwanzo

Binafsi i will never vote for him again kwenye tuzo yoyote...Wampigie vote wana CCM wenzake
 
Kuna limit katika kuyafanya hayo

Asikudanganye mtu....Anavyoanza kutazamwa na watu ni tofauti na mwanzo

Binafsi i will never vote for him again kwenye tuzo yoyote...Wampigie vote wana CCM wenzake

Wewe sio ccm mkuu? Nimeona rangi ya kijaniii ila sijasoma coz nina aleg na iyo rangi
 
Wewe ngoja habali yake inaisha mwezi wa kumi.
Amezoea kwenda ikulu kama chooni eeeh.. ikulu itaiona kwa nje

Nakuambia cute b... Kuna kitu watu hawajastukia kuwa kale kahafla ka mcity kalikuwa kana lengo la kuwahadaa na kupanga mipango ya jangwan!!!!
 
Nakuambia cute b... Kuna kitu watu hawajastukia kuwa kale kahafla ka mcity kalikuwa kana lengo la kuwahadaa na kupanga mipango ya jangwan!!!!

Ndiooo ila maboya ndio wamebwetekaa...
Nasikia ile ilikuwa ni show ya fiesta na sio uzinduziii dadeeeeeek
 
Mtoa mada fikiria kwa kina kabla ya kuandika,jua diamond msanii na jana alikuwa kazin kama kweli unamkubali utamkubali tu.acha kuwa na ubaguzi weye unataka ale wapi hata kuonyesha mahaba na ccm acha aonyeshe ni haki yake
 
Naunga mkonyo ooh mkono hoja mdomo hauna ulimi ah ulimi hauna mfupaa
 
Nimepoteza imani na diamond.nilikuwa nampigia sana kura kwenye vipengele vyote alikuwa anashindanishwa lakini kwa kuwa ameonyesha dhahiri siyo impartial simwamini tena
 
Msanii hutakiwi kuonyesha hisia zako za kiitikadi za siasa moja kwa moja kama alivyofanya Diamond.Kumbuka wanaosikiliza kazi zako si wa chama unachoshabikia tu bali ni wafuasi wa vyama vingine na wengine hawana vyama.Angekuwa ''neutral'' tu.

Tunafahamu kuwa yeye ni mjasiliamali kupitia muziki isingekuwa rahisi kwake kukataa pesa.Angeenda pale afanye kazi yake na kuondoka na si kuanza kubeza upande wa pili wa wapinzani.

Nami pia naona anguko la kimuziki la Diamond baada ya muda mfupi mbele.
 
Tumeshawapa majibu lakini mnajifanya hamsikii wala kuona...

kwanza ni Diamond peke yake anayewapigia kampen ccm?? Ni wasanii wangapi wanawapigia kampeni ccm hujawataja...

Je angekuwa amewapigia kampeni UKawa ungekuja na huu utumbo wako...??

Wakati anampigia kampeni Lowassa mbona hamkuongea!!!

Ney wa mitego na wasanii wengi wanaompigia kampeni Lowassa mbona hamuwataji!!!! Au sio wasanii au hawatajiua maana hata wao wanao mashabiki ambao wapi ccm...

Diamond ameanza leo kuipigia kampeni ccm!!!... Mbona hafi kisanii😳😳😳

Tambua mpaka wa ushabiki wako, we ni nani mpaka umpangie Diamond pa kupigia kampeni!!!... Kama hamna hospital, shule yeye inamuhusu nn ( ofcourse yeye sio kiongozi wala mwanasiasa)
 
We lofa kuna tofauti kati ya 2010 na 2015!Hapa nazungumzia katunga kabisa nyimbo kutukana wapinzani. 2010 alikuwa mburudishaji wa kawaida, na ilitakiwa aendelee katika mfumo huo. Unapiga hela unaenda zako. Yoyote anaekuja na hela unachukua hela unafanya kazi unapita hivi, sasaiv yeye ameamua kuwa kada.. Tutaona, nitakuja kuwakumbusha haya hapa..

2010 Aliubadirisha wimbo wake wa "KAMWAMBIE" Ukawa na maneno ya kuinadi CCM. Sasa nadhani ushajua lofa nani kati yako na Habari ya Mujini
 
Last edited by a moderator:
Msanii hutakiwi kuonyesha hisia zako za kiitikadi za siasa moja kwa moja kama alivyofanya Diamond.Kumbuka wanaosikiliza kazi zako si wa chama unachoshabikia tu bali ni wafuasi wa vyama vingine na wengine hawana vyama.Angekuwa ''neutral'' tu.

Tunafahamu kuwa yeye ni mjasiliamali kupitia muziki isingekuwa rahisi kwake kukataa pesa.Angeenda pale afanye kazi yake na kuondoka na si kuanza kubeza upande wa pili wa wapinzani.

Nami pia naona anguko la kimuziki la Diamond baada ya muda mfupi mbele.

Msanii ni fisi au swala!!! Kama ni mtu kwanini asiwe ana haki za msingi za kuchagua au kuchaguliwa....

Kati ya wasanii wote walionyesha hisia zao ni diamond peke yake umemuona!!!

Sijui mnafikiriaga kwa kutumia matundu!
 
Msanii hutakiwi kuonyesha hisia zako za kiitikadi za siasa moja kwa moja kama alivyofanya Diamond.Kumbuka wanaosikiliza kazi zako si wa chama unachoshabikia tu bali ni wafuasi wa vyama vingine na wengine hawana vyama.Angekuwa ''neutral'' tu.

Tunafahamu kuwa yeye ni mjasiliamali kupitia muziki isingekuwa rahisi kwake kukataa pesa.Angeenda pale afanye kazi yake na kuondoka na si kuanza kubeza upande wa pili wa wapinzani.

Nami pia naona anguko la kimuziki la Diamond baada ya muda mfupi mbele.

Alitakiwa aimbe basi asepe

Yeye akitaka siasa aingie kwenye siasa kama Prof J Alivyofanya

Ila kwa mtindo wake itam cost
 
Back
Top Bottom