Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Watu wanabisha ila mtoa post upo right haya mambo bwana kwa watu kama wasanii ambao wana followers wa kila aina ni ya kuwa nayo makini sana...huwez jua pengine mashabiki zake wengi ni wapinzan je?...sema watu wanajifanya hawaon
 
Tumeshawapa majibu lakini mnajifanya hamsikii wala kuona...

kwanza ni Diamond peke yake anayewapigia kampen ccm?? Ni wasanii wangapi wanawapigia kampeni ccm hujawataja...

Je angekuwa amewapigia kampeni UKawa ungekuja na huu utumbo wako...??

Wakati anampigia kampeni Lowassa mbona hamkuongea!!!

Ney wa mitego na wasanii wengi wanaompigia kampeni Lowassa mbona hamuwataji!!!! Au sio wasanii au hawatajiua maana hata wao wanao mashabiki ambao wapi ccm...

Diamond ameanza leo kuipigia kampeni ccm!!!... Mbona hafi kisanii😳😳😳

Tambua mpaka wa ushabiki wako, we ni nani mpaka umpangie Diamond pa kupigia kampeni!!!... Kama hamna hospital, shule yeye inamuhusu nn ( ofcourse yeye sio kiongozi wala mwanasiasa)

Sasa mashabiki zake wapenda maendeleo hawajapendezwa na hilo... na wameamua kujitoaa kutomsopport..
Maana haiwezekani awatukane mashabiki zake ikiwa anajua kila mtu now ni UKAWA
 
Wakati anampigia kampeni Lowassa mbona hamkuongea!!!

Diamond hajawahi kumpigia kampeni lowasa

Aliitwa kutumbuiza akatumbuiza akasepa

Tusibishane sana...Muda ni jibu la kila kitu

Vijana ndio sisi...Na wengine hapa tumekuwa mashabiki wake wakubwa hata humu jukwaani inajulikana

Sasa tutaona....lwts wait and see....Ninyi wa CCM mtaendelea kum support hadi huko kwenye nominations zake
 
Eti wale wanaojiita timu walinzi wa tembo leo hii wanajitwisha siasa na kujifanya kumtishia, DIAMOND si mtu anayeteteleka na madongo tokea anaanza muziki ni mtu wakurushiwa madongo hadi hapo alipo.
 
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante

kwahio ukiwa mwanamuziki unapoteza haki yako ya kuchagua chama ukitakacho?? tafuta kazi ya kufanya achana na maamuzi binafsi ya mtu.
 
Ikumbukwe kuwa diamond is a businessman and biashara yake kubwa kabisa inayomuingizia pesa ni muziki sasa kama alipewa kazi na CCM unataka asiifanye kisa nini kumbuka biashara yake haichagui nani wa kumuhudumia he is like the whole seller na sio Niche businessman

Umesema he is a business man..sidhani kama business man mjanja ana take side's. .otherwise biashara yake itaporomoka maana the other side will opt for not buying his products! ..thank you mkuu!
 
Sasa hapo ndio ugundue kuwa siasa is a game kisa diamond ametumbuiza CCM chadema hawawez kumchukua kutumbuiza kwenye mikutano yao....lengo la diamond ko uwa pale ni kutumbuiza na si kumuomba mtu aichague CCM au UKAWA
 
1440405219958.jpg
 
We lofa kuna tofauti kati ya 2010 na 2015!Hapa nazungumzia katunga kabisa nyimbo kutukana wapinzani. 2010 alikuwa mburudishaji wa kawaida, na ilitakiwa aendelee katika mfumo huo. Unapiga hela unaenda zako. Yoyote anaekuja na hela unachukua hela unafanya kazi unapita hivi, sasaiv yeye ameamua kuwa kada.. Tutaona, nitakuja kuwakumbusha haya hapa..
Wapumbavu mpo wengi kweli humu ndani kwa taarifa yako 2010 diamond alitunga wimbo wakumsifu jk kama huna taarifa kaa kimyaa...na alizunguka nchi nzima kumnadi jk na mwaka huu atafanya hivyo kwa jpm pia..
 
Nimepoteza imani na diamond.nilikuwa nampigia sana kura kwenye vipengele vyote alikuwa anashindanishwa lakini kwa kuwa ameonyesha dhahiri siyo impartial simwamini tena

Yaani ulitaka afuate kile unachokiamini wewe? Acha nae afanye maamuzi Yake Mimi ni ukawa na kura nitampigia za kutosha.
 
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante

Diamond ni Mtanzania kama watanzania wengine ana HAKI ya kufanya anachokipenda.....

Kama umeona amekosea na umekasirika KASAGE CHUPA UNYWE......
 
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante

Pelekeni upuuzi wenu huko
 
Hivi MALo Yuko wapi angejifunza kupitia hapo tunataka muziki siyo siasa
 
Hivi MALo Yuko wapi angejifunza kupitia hapo tunataka muziki siyo siasa

Mr nice,dudubaya,bwana misosi,sister p,zed b,z anto wako wapi leo hii na je walikuwa ccm? Dimond toka 2010 yupo na ccm mpaka leo mbona amezidi kuwa juu tu kwani jana wasanii wangapi walikuwepo pale mpaka aonekane dimond? Mnajipa presha tu za bure
 
😂😂😂😂😂😂😂 nafahamu haki yangu ya msng haishurutishi maamuz ya mwingne. Naipenda ukawa lakn sio lowassa na huo ni uchaguz wangu mwenyewe na zaidi diamond kaz zake nazikubali sana lakn cpend chama chake full stop
 
Back
Top Bottom