John Rogath Nguzo
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 148
- 52
Tumeshawapa majibu lakini mnajifanya hamsikii wala kuona...
kwanza ni Diamond peke yake anayewapigia kampen ccm?? Ni wasanii wangapi wanawapigia kampeni ccm hujawataja...
Je angekuwa amewapigia kampeni UKawa ungekuja na huu utumbo wako...??
Wakati anampigia kampeni Lowassa mbona hamkuongea!!!
Ney wa mitego na wasanii wengi wanaompigia kampeni Lowassa mbona hamuwataji!!!! Au sio wasanii au hawatajiua maana hata wao wanao mashabiki ambao wapi ccm...
Diamond ameanza leo kuipigia kampeni ccm!!!... Mbona hafi kisanii😳😳😳
Tambua mpaka wa ushabiki wako, we ni nani mpaka umpangie Diamond pa kupigia kampeni!!!... Kama hamna hospital, shule yeye inamuhusu nn ( ofcourse yeye sio kiongozi wala mwanasiasa)
Wakati anampigia kampeni Lowassa mbona hamkuongea!!!
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante
Ikumbukwe kuwa diamond is a businessman and biashara yake kubwa kabisa inayomuingizia pesa ni muziki sasa kama alipewa kazi na CCM unataka asiifanye kisa nini kumbuka biashara yake haichagui nani wa kumuhudumia he is like the whole seller na sio Niche businessman
Akili fupi kabisa,,, ulikuwa unampigia kutokana na uwezo wake au Siasa?
Wapumbavu mpo wengi kweli humu ndani kwa taarifa yako 2010 diamond alitunga wimbo wakumsifu jk kama huna taarifa kaa kimyaa...na alizunguka nchi nzima kumnadi jk na mwaka huu atafanya hivyo kwa jpm pia..We lofa kuna tofauti kati ya 2010 na 2015!Hapa nazungumzia katunga kabisa nyimbo kutukana wapinzani. 2010 alikuwa mburudishaji wa kawaida, na ilitakiwa aendelee katika mfumo huo. Unapiga hela unaenda zako. Yoyote anaekuja na hela unachukua hela unafanya kazi unapita hivi, sasaiv yeye ameamua kuwa kada.. Tutaona, nitakuja kuwakumbusha haya hapa..
Nimepoteza imani na diamond.nilikuwa nampigia sana kura kwenye vipengele vyote alikuwa anashindanishwa lakini kwa kuwa ameonyesha dhahiri siyo impartial simwamini tena
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante
Yaani ulitaka afuate kile unachokiamini wewe? Acha nae afanye maamuzi Yake Mimi ni ukawa na kura nitampigia za kutosha.
Diamond ni Mtanzania kama watanzania wengine ana HAKI ya kufanya anachokipenda.....
Kama umeona amekosea na umekasirika KASAGE CHUPA UNYWE......
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante
Hivi MALo Yuko wapi angejifunza kupitia hapo tunataka muziki siyo siasa
Domo namfananisha na mshikaj wangu wa kitambo marlaw