Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Nimejiuliza hili swali sipati majibu hebu naomba tujadili waungwana ili binafsi nielwwe nn kinachomfanya huyu Diamond na wenzie wengi ambao awali walikuwa upande wa lowassa lkn baada ya dinner na Mh. Wakageukia ccm Je? Nini kilichowasibu
 
Kwahiyo unadhani kuna raisi atakuja madarakani akufanye wewe ujikute umehamia madaki? Acha kuwaza kizembe. Saka maisha
 
Madaki ndio nn kaka daa umepanic ww ni mnenguaji wake nn..kwikwikwi
 
hauna habari nyingne ya kuanzisha?? hii tushajadili sana humu
 
Nilikuja kasi,kumbe mada yenyewe hovyo, imeanzishwa na kiazi kitamu.
 
Nimejiuliza hili swali sipati majibu hebu naomba tujadili waungwana ili binafsi nielwwe nn kinachomfanya huyu Diamond na wenzie wengi ambao awali walikuwa upande wa lowassa lkn baada ya dinner na Mh. Wakageukia ccm Je? Nini kilichowasibu
Wakuu mimi napendekeza hili jukwaa tuliite DIAMOND'S FORUM, kwa sa7bu 60% - 70% ni habari zinazomuhusu yeye tu hakika amestahili kuwa ICON WA TAIFA.
 
Bado kaz hipo ya kuwahelimisha vjana juu ya maendeleo yap yanatakikana ikiwa na " mtazamo"
 
Demokrasia iheshimiwe na tuwe wavumilivu wa kisiasa.

Maana siasa ni maslai, kama siasa zako hazinipi maslai Sioni sababu ya kukuunga mkono.

Licha ya sera lakini siasa ni maslai, mwanasiasa hawezi kununua ili akuletee maendeleo ila anawekeza kwako apate faida.

Hivyo tuheshimu uhuru wa mawazo kama katiba yetu inavyotuongoza.
 
Wakuu mimi napendekeza hili jukwaa tuliite DIAMOND'S FORUM, kwa sa7bu 60% - 70% ni habari zinazomuhusu yeye tu hakika amestahili kuwa ICON WA TAIFA.
hizi rangi zako zinaumiza macho au uko field???
 
ndio mana ana domo kubwa kama frampeni, manina .............. tutamzomea kwenye shoo zake mpaka atie adabu.
 
Ahahaha Team kiba nishawashtukia siku nyingiiiii!!wanataka kuaminisha watu kwamba diamond amekosea bahati mbaya shabiki zake tuko ngangari kinomaaaa,tumejipanga hasaaa!!

Ney wa Mitego daily anadiss watu huko Insta,lakini hajadiliwi huku JF,ni hiviii Hamtuwezi na hamtokuja kumuweza Diamond!

Endeleeni na akili zenu za kushikiwa na uvivu wenu team kiba na haters wote wa chibu,ndio kwanzaaaa diamond anang'araaa

Yaani hao matimu wanazani wanamshusha kumbe ndio kwanza wanampaisha

ila wamejaribu na yule wa unfolo ndio atakuwa analia sasa maana mafolowaz ndio wameongezeka maelfu na maelfu

watanyooka tu na wale wengine hajawananiliu wanahangaika bado kumekucha hakunaga kama Diamond huu ujumbe wa maisha ya Diamond ya kila siku watalala nayo wakilia machozi kama ex wake w aliyelia Zari anafanya pati na petio nae akalia...insta tamu

nendeni kama kuna mtu amepitwa na ma screenshot kwa who_iz_thee_boss
 
Last edited by a moderator:

ahahaaa amejua kuwakomesha
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa amejua kuwakomesha

wanazani mtoto wa Tandale hajui kuishi

yeye amerusha live uso kwa uso yaani ni Raisi anayejijua kwa kweli.

hao wanaojibu na kutukana mitandaoni hat dadaake Esma kawaambia sasa waje za uso kwa uso hiyo ilikuwa wiki iliyopita.
 
Nikimkaza huyu dada yake ndo angetuheshimu ukawa
 
Tutammaliza diamond kwa kumnyamazia.Hatuna muda wa kumjadili cuz tupo bize na EDLOW
 
Mkuu umetema madini matupu, yeye ni mjinga hajui kizazi chake wanashabikia upande gani, asinge take sides, angefanya kama alivyo fanya kwa lowassa, angepiga show avute mkwanja aende zake. Sasa ameamua kutake side, side ya chama ambacho asilimia kubwa ni waakina mama watu wazima na wazee. Sasa hivi hawezi ona, matokeo atayapata baada ya mwaka. Halaf amejiona amekuwa super star sana, kama jana anaongea live kwenye radio anamwambia DIVA ningekuwa NIMEKUKAZA ungeniheshimu. Katika umri wangu wote huu sijawahi msikia msanii anaongea hivyo radioni. Ndo yale yale ya mkapa kuwaita watanzania wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa. Wamelewa hawa hela tunazowapa wenyewe

Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.

Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom