Wakuu mimi napendekeza hili jukwaa tuliite DIAMOND'S FORUM, kwa sa7bu 60% - 70% ni habari zinazomuhusu yeye tu hakika amestahili kuwa ICON WA TAIFA.Nimejiuliza hili swali sipati majibu hebu naomba tujadili waungwana ili binafsi nielwwe nn kinachomfanya huyu Diamond na wenzie wengi ambao awali walikuwa upande wa lowassa lkn baada ya dinner na Mh. Wakageukia ccm Je? Nini kilichowasibu
hizi rangi zako zinaumiza macho au uko field???
Wakuu mimi napendekeza hili jukwaa tuliite DIAMOND'S FORUM, kwa sa7bu 60% - 70% ni habari zinazomuhusu yeye tu hakika amestahili kuwa ICON WA TAIFA.
Ahahaha Team kiba nishawashtukia siku nyingiiiii!!wanataka kuaminisha watu kwamba diamond amekosea bahati mbaya shabiki zake tuko ngangari kinomaaaa,tumejipanga hasaaa!!
Ney wa Mitego daily anadiss watu huko Insta,lakini hajadiliwi huku JF,ni hiviii Hamtuwezi na hamtokuja kumuweza Diamond!
Endeleeni na akili zenu za kushikiwa na uvivu wenu team kiba na haters wote wa chibu,ndio kwanzaaaa diamond anang'araaa
Yaani hao matimu wanazani wanamshusha kumbe ndio kwanza wanampaisha
ila wamejaribu na yule wa unfolo ndio atakuwa analia sasa maana mafolowaz ndio wameongezeka maelfu na maelfu
watanyooka tu na wale wengine hajawananiliu wanahangaika bado kumekucha hakunaga kama Diamond huu ujumbe wa maisha ya Diamond ya kila siku watalala nayo wakilia machozi kama ex wake w aliyelia Zari anafanya pati na petio nae akalia...insta tamu
nendeni kama kuna mtu amepitwa na ma screenshot kwa who_iz_thee_boss
ahahaaa amejua kuwakomesha
Nikimkaza huyu dada yake ndo angetuheshimu ukawawanazani mtoto wa Tandale hajui kuishi
yeye amerusha live uso kwa uso yaani ni Raisi anayejijua kwa kweli.
hao wanaojibu na kutukana mitandaoni hat dadaake Esma kawaambia sasa waje za uso kwa uso hiyo ilikuwa wiki iliyopita.
​pole mkuu hiyo je ??????? ndo namalizia field yanguhizi rangi zako zinaumiza macho au uko field???
pole mkuu hiyo je ??????? ndo namalizia field yanguhizi rangi zako zinaumiza macho au uko field???
Mkuu umetema madini matupu, yeye ni mjinga hajui kizazi chake wanashabikia upande gani, asinge take sides, angefanya kama alivyo fanya kwa lowassa, angepiga show avute mkwanja aende zake. Sasa ameamua kutake side, side ya chama ambacho asilimia kubwa ni waakina mama watu wazima na wazee. Sasa hivi hawezi ona, matokeo atayapata baada ya mwaka. Halaf amejiona amekuwa super star sana, kama jana anaongea live kwenye radio anamwambia DIVA ningekuwa NIMEKUKAZA ungeniheshimu. Katika umri wangu wote huu sijawahi msikia msanii anaongea hivyo radioni. Ndo yale yale ya mkapa kuwaita watanzania wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa. Wamelewa hawa hela tunazowapa wenyewe