Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

sijawahi kumkubali huyu jamaa naona naye ni LOFA tu
 
Jamani hii ni nchi ya demokrasia... we mbna hakuna aliekupangia usupport wapi?? Kwann mumpangie diamond au ye hana haki?? Wapi iliandikwa msanii hatakiwi kusuuport ccm... hajakosea mkapa kuwaita malofa
usijitoe ufahamu ndugu yangu
 
Nilikuwa die hard fan wa diamond
But now sitaki hata kusikia wimbo wake
Nimefuta zote kwenye simu yangu
Alichoniudhi ni kubadili nyimbo zake na kuwa za ccm
 
sometimes tunaishi nje ya malengo tuliojiwekea,pesa ndo imempeleka upande huo..sio jambo la kawauda kwa kijana anaejielewa Kuwa ccm
 
Nilikuwa die hard fan wa diamondBut now sitaki hata kusikia wimbo wakeNimefuta zote kwenye simu yanguAlichoniudhi ni kubadili nyimbo zake na kuwa za ccm
Angalua usijekuwa umefuta nyimbo afu umeacha picha in vyema kama ukifomart memory
 
Angalua usijekuwa umefuta nyimbo afu umeacha picha in vyema kama ukifomart memory.


Haaaaa kuna watu mnakaz sana hv kwann mashabiki wengi wa alikiba mnajikuta washaur wa diamond achen hzo fanyen kaz be inspired jay z na kanye west wote walifanya campaign kumuunga mkono baraka obama. Be inspired hamna namna nynngne tena
 
Hii ni kwa diamond au kwa wote? VP kuhusu Sugu ambae ni msanii anayefanya siasa?? Name professor Jay?? Au kwao hawa other factors remain constant??

Sugu kaacha music na prof jay wamejikita kwenye siasa asilimia zote. Domo hakatazwi kushabikia kitu ila kuleta ujinga wa kikabila hafu uelewa wake mdogo hata ku analyze siasa anaandika mipasho ya kitandale wapi na wapi? Aendele tu na mipasho ya ma ex wake
 
Jitahd kumnfollow tu ndo jinsi tu ya kumshusha achane uswali na nyie maana huku mmekuja kumsema hili sisi tufanyeje yule mfanya biashara tu kama mbowe au mlema na mkae mkijua pesa ni tamu mweeee
 

Hakuna sehemu diamond aliyozungumzia ukabila
 
Roho mby tu jana mwana mmoja kitaa mshabiki wa kiba ndan ya grup la whatapp ilipostiwa picha ya diamond kapga red suit jamaa bila haibu akaropo kwa bahat mby huwa sipend suit za kijana ...

Duuuuu achane hzo fanyen yenu
 
Sikatai msanii kushabikia chama anachokitaka ni haki yake but kujihusisha na makundi ndani ya vyama yenye mirengo ya kikanda, na kikabila anachemka sio siri.Anaweza kununuliwa kwa kuwa ana followers wengi but what next baada ya uchaguzi? UKAWA wakichukua atakuwa amejiweka kwenye mazingira gani kikazi?......
 
Kuna limit katika kuyafanya hayo

Asikudanganye mtu....Anavyoanza kutazamwa na watu ni tofauti na mwanzo

Binafsi i will never vote for him again kwenye tuzo yoyote...Wampigie vote wana CCM wenzake

me too sitamvotia tena
 
Hii ni kwa diamond au kwa wote? VP kuhusu Sugu ambae ni msanii anayefanya siasa?? Name professor Jay?? Au kwao hawa other factors remain constant??

Pro. Jay ni pioneer wa bongo flava._agree?. I mean, yeye ameshakuwa kwa game miaka mingi. Anaelewa soko la usanii vizuri. Anajuwa kushuka na kupanda._true? On the other hand Diamond hajaonja kushuka(what goes up MUST come down)._sio? Ndio sasa yuko kwenye kilele cha taaluma yake._umenielewa? Pengine angesubiri kama miaka 5 aone kama bado atakuwa maarufu hivyo alivyo ama atatokea mwingine ampite ndio sasa ajihusishe na siasa._aah?
He should take one step at a time. Ahakikishe amefika kilele na amedumisha uongozi kwa miaka kama 5 ndio afikirie taaluma nyingine_ama unasemaje?
NB. I mean to say that, it's too early for him to indulge himself in politics. And he should not take music fan for politics fans. They are two different fields. Trust me.
 

Hivi ukawa wakichukua nchi kuna watu watashindwa kufanya kazi zao? Kivipi mazingira ya kazi zao yatakuwa magumu? Bado tunahitaji kujua ninini maana ya kuishi kwenye nchi yenye mfumo wa vyama vingi kumbe. Wadau ebu toeni elimu jamani.
 

Diamond akishuka utaumia sana eeh? Unachanganya mambo sana mara kwa sasa diamond yupo kwenye kilele cha taaluma yake , mara unasema ahakikishe kuwa ameshafika kwenye kilele , sorry Unajaribu kusemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…