Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijitoe ufahamu ndugu yanguJamani hii ni nchi ya demokrasia... we mbna hakuna aliekupangia usupport wapi?? Kwann mumpangie diamond au ye hana haki?? Wapi iliandikwa msanii hatakiwi kusuuport ccm... hajakosea mkapa kuwaita malofa
Angalua usijekuwa umefuta nyimbo afu umeacha picha in vyema kama ukifomart memoryNilikuwa die hard fan wa diamondBut now sitaki hata kusikia wimbo wakeNimefuta zote kwenye simu yanguAlichoniudhi ni kubadili nyimbo zake na kuwa za ccm
Hii ni kwa diamond au kwa wote? VP kuhusu Sugu ambae ni msanii anayefanya siasa?? Name professor Jay?? Au kwao hawa other factors remain constant??
Nilikuwa die hard fan wa diamond
But now sitaki hata kusikia wimbo wake
Nimefuta zote kwenye simu yangu
Alichoniudhi ni kubadili nyimbo zake na kuwa za ccm
Sugu kaacha music na prof jay wamejikita kwenye siasa asilimia zote. Domo hakatazwi kushabikia kitu ila kuleta ujinga wa kikabila hafu uelewa wake mdogo hata ku analyze siasa anaandika mipasho ya kitandale wapi na wapi? Aendele tu na mipasho ya ma ex wake
Aliandika Instagram baada ya kushambuliwa na watu aka i edit fastaHakuna sehemu diamond aliyozungumzia ukabila
Aliandika Instagram baada ya kushambuliwa na watu aka i edit fasta
Kuna limit katika kuyafanya hayo
Asikudanganye mtu....Anavyoanza kutazamwa na watu ni tofauti na mwanzo
Binafsi i will never vote for him again kwenye tuzo yoyote...Wampigie vote wana CCM wenzake
Hii ni kwa diamond au kwa wote? VP kuhusu Sugu ambae ni msanii anayefanya siasa?? Name professor Jay?? Au kwao hawa other factors remain constant??
Mbona hatukujui?
Sikatai msanii kushabikia chama anachokitaka ni haki yake but kujihusisha na makundi ndani ya vyama yenye mirengo ya kikanda, na kikabila anachemka sio siri.Anaweza kununuliwa kwa kuwa ana followers wengi but what next baada ya uchaguzi? UKAWA wakichukua atakuwa amejiweka kwenye mazingira gani kikazi?......
Pro. Jay ni pioneer wa bongo flava._agree?. I mean, yeye ameshakuwa kwa game miaka mingi. Anaelewa soko la usanii vizuri. Anajuwa kushuka na kupanda._true? On the other hand Diamond hajaonja kushuka(what goes up MUST come down)._sio? Ndio sasa yuko kwenye kilele cha taaluma yake._umenielewa? Pengine angesubiri kama miaka 5 aone kama bado atakuwa maarufu hivyo alivyo ama atatokea mwingine ampite ndio sasa ajihusishe na siasa._aah?
He should take one step at a time. Ahakikishe amefika kilele na amedumisha uongozi kwa miaka kama 5 ndio afikirie taaluma nyingine_ama unasemaje?
NB. I mean to say that, it's too early for him to indulge himself in politics. And he should not take music fan for politics fans. They are two different fields. Trust me.