Hio 90% umeiona pekeyako su https://instagram.com/p/6jdQQRGwPa/
Fanya analysis ya comments zote.. pitia kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Kijana anajua kutumia fursa ipasavyo,cio mpuuzi yule awe mrahisi kihivyo kujirisk ktk kazi yake kwa ajili ya wanasiasa.cku zote anasema,anafanya kazi yenye maslahi kwake.
watu wanafikiri chibu ni mpuuzi, tumwache apige pesa kijana.DIAMOND wewe ni mtu mkubwa sana ktk TZ, hakuna dakika inayoenda bila jina lako kuwepo kwenye mitandao au magazeti,radio na tv na kila jambo lako ni mjadala wa kitaifa je alishatokea msanii kama yeye ???? mimi nasema hajawahi kutokea.Back 2 the mada ni hivi DIAMOND ATAKUWEPO SIKU YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MWENZENU KESHAVUTA MKWANJA TENA MREFU MNO KULIKO MUNAVYOFIKIRI NYINYI HELA AMBAYO AJAWAHI KUIPATA KTK SHOO ZA TZ. JAPO MIMI NI UKAWA ILA NAMUELEWA YEYE ANAFANYA KWA AJILI YA KAZI SI VINGINEVYO.
Sina chuki. Infact mm ni mshabiki mkubwa sana wa Mondi. Ila kwa nature ya kazi yake, asingetakiwa kufanya hivi.
Ila sio kosa lake maana naona leo wasanii wote wamenunuliwa. Kila mtu leo imekuwa #hapakazitu
Bila Shaka kuna maslahi aliyopata ktk hilo.
My point is, asingeonesha wazi maana itamletea effect kwenye kazi zake za kimuziki.
Just imagine saiv mashabiki washaanza kampeni ya kutompigia kura kwenye tunzo anazoshiriki. Na nimepitia comments za mashabiki, 90% hawakufurahishwa na kitendo hicho. Unategemea nn? Wakati kura za washabiki ndo zinampa ushindi katika tunzo?
View attachment 278080Time will tell kila kitu kina taifa na hasara zake wajanja huuusoma kwanza upepo na mchezo ulivo
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.
diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
namuonea huruma sana
Tatizo la wasanii wetu ni kutokujiamini na kujisimamia misimamo yao wanakubali kutumika kipindi hichi aliyechukua deal anafaidika wasanii hela kiduchu hata wakiporomoka yeye hawajali tena. Kisa wanatishiwa nyimbo kutopigwa wangeunga umoja wa kudai haki zao bila kumwangua mungu mtu wa wasanii wangefika mbali na wananchi wangewapa fool support.Unachosema ni kweli DIVA...NAMIMI NIMEPENDA SANA MSIMAMO WA MSANII RAY JUU YA USHABIKI WA SIASA WANAOFANYA WENZIE KWENYE SOCIAL MEDIA,Maana upepo hadi sasa hausomeki alafu yeye anapost ujinga kama ule...NA JE UKAWA WAKICHUKUA NCHI OCTOBER ANAJIWEKA KATIKA MAZINGIRA GANI KUHUSU KUPATA SUPPORT KUTOKA KWA SERIKALI YA UKAWA?...NA NDIO MAANA NIKASEMA HAKUPASWA KUONYESHA FEELINGS ZAKE ZA UCHAMA KUWA WAZI KIASI KILE IKIWA YEYE NI MTU MWENYE TITLE KWENYE JAMII NA MWENYE KAZI TOFAUTI KABISA NA SIASA MAANA INAJULIKANA ANAFANYA MUZIKI NA SIO SIASA!
View attachment 278080Time will tell kila kitu kina taifa na hasara zake wajanja huuusoma kwanza upepo na mchezo ulivo
Hawa wasanii njaa sana hawajielewi kbs watu wanadhurumiwa kazi zao na serikali leo hii wamepewa pesa wanawasapoti wanasiasa hawa vipi hawa
Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Inawezekana ina maslahi kwake, lakin ni maslah ya muda mfupi na yanaweza kumuathiri baadae kimuziki..
Sio laki Tatu tu na matisho juu lisemwalo lipo kama halipo laja wasanii wakiendelea kutumika bila hati miliki lazima ile kwao. Na msanii huwezi Ku shine siku zote sasa wao kuhadaika na ubwabwa wa Mlimani city i feel sorry for them.Kuna vitu vingine ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu, hivi Diamond naye ni mtu kulipwa laki tatu? Hivi mtungaji wa hiyo propaganda alikaa chini akawaza weeeee akaona laki tatu ndio kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata Diamond anaweza akalipwa ili kumshabikia Magufuli?
msafara wa mamba,kenge nao wamo,sasa kenge mwenyewe akiwa mkubwa na ushawishi mkubwa,tegemea vikenge vingi kuunga tela.Sawa mkuu tuseme analinda kazi yake ila hamkubali magufuli,wewe unafikiri kwa kupost vile atakuwa ameshawishi na kuwachagulia watu wangapi kumkubali magufuli?
DIAMOND wewe ni mtu mkubwa sana ktk TZ, hakuna dakika inayoenda bila jina lako kuwepo kwenye mitandao au magazeti,radio na tv na kila jambo lako ni mjadala wa kitaifa je alishatokea msanii kama yeye ???? mimi nasema hajawahi kutokea.Back 2 the mada ni hivi DIAMOND ATAKUWEPO SIKU YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MWENZENU KESHAVUTA MKWANJA TENA MREFU MNO KULIKO MUNAVYOFIKIRI NYINYI HELA AMBAYO AJAWAHI KUIPATA KTK SHOO ZA TZ. JAPO MIMI NI UKAWA ILA NAMUELEWA YEYE ANAFANYA KWA AJILI YA KAZI SI VINGINEVYO.