Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

anaweza akawa kichaa kweli...lakini umewezaje kumjua kama nawewe sio kichaa mwenzie?????

Kichaa ni mtu ambaye anaacha kununua bidhaa kwenye duka la mangi eti kisa mangi kasema hadharani kuwa yeye anamkubali magufuli,
 
kumbe napoteza muda wangu jibishana na hater papa.

Useless.

98% ya wanaodiss kuhusu diamond hapa ni antidiamond,ndio maana unaona wanatumia nguvu nyingi kubishana ila wasikupe shida sana maana ni walewale haters wa siku zote Wengine wamekuja na ID mpya ila ni walewale
 
Thats very TRUE.
 
Nashukuru BADILI TABIA kwa kunielewa na wengine PIA,msionielewa its ok lakin nafs zinawasuta vijana tunahitaji mabadiliko,hatutaki watawala tunataka viongozi,kipindi anaingia Kikwete mlisifia msafi ,mzuri lakin kaboronga kila kitu hata Richmond anahusika yeye ndio maana haongelei Hilo,sasa tunamtaka huyo mchafu ndio atuongoze atasafishika Tu,mmempa Richmond na escrow mnapa nani mbona mpo kimya kwa Hilo,Diamond aangalie wananchi wanataka nini aendele Tandale kule aangalie anasahau alipotoka,ye Ni mtu maarufu Ana mashabiki na ndio keshatugawa hivyo hili swala Ni la nchi ingekua mpira sawa,we unaesema nna chuki ndio nna chuki tena kubwa nikiona watu wanavyokufa kwa kukosa huduma,kwa hili Daimond angekaa kimya Tu akaenda mpa kura magufuli,sijasema waniletee pesa tunataka huduma nzuri za kijamii kama wameshindwa ccm na miaka yote wanatawala tunataka mabadiliko,watoto wapate elimu bora,tupate maji safi,yaan hapa wengine mnajifanya kuniponda wakati hata maji ya chupa mnaishiaga kuyaona dukani,mbona nchi zingine zimeweza,sie tusiweze kwa nini,madini tunayo lakin tunaachiwa mashimo Tu,Ni hivi msituibie Tu kura zetu SI mshazoea kuiba safari hii patachimbikaaa tumechoka ,ukiona umebanana kunywa maji baridi yatakupunguzia mhemko msijifanye wote matajiri hapa hamjui maisha ya watanzania wanavyoishi alaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nitakua mnafiki nikipita kimyakimya bila kusema neno kwako Dinazarde, kwanza naomba niweke wazi kua tamko lako hili limenifurahisha sana.
Sijafurahi sababu ya ule upinzani wetu humu uliozoeleka wa Kiba vs Mondi...lah!
Nafurahi kuona wadada wenzangu tunaamka namna hii, sasa tunaelewa matatizo yetu kama Watanzania.
Tumeamua kwa nia ya dhati kabisa kuwa sehemu ya mabadiliko yanayokwenda kuondoa serikali dhalimu ya CCM madarakani.
Nimefurahi sana, hongera zako.
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kuwa Dina ana upeo mkubwa kiasi hiki katika masuala ya maslahi ya taifa!Ni furaha iliyoje kuona wana celebrities tumeamka kiasi hiki?
Tumewazidi hata hao wanaojiona wakongwe wa siasa humu JF!
 
Last edited by a moderator:
nashukuru badili tabia kwa kunielewa na wengine pia,msionielewa its ok lakin nafs zinawasuta vijana tunahitaji mabadiliko,hatutaki watawala tunataka viongozi,kipindi anaingia kikwete mlisifia msafi ,mzuri lakin kaboronga kila kitu hata richmond anahusika yeye ndio maana haongelei hilo,sasa tunamtaka huyo mchafu ndio atuongoze atasafishika tu,mmempa richmond na escrow mnapa nani mbona mpo kimya kwa hilo,diamond aangalie wananchi wanataka nini aendele tandale kule aangalie anasahau alipotoka,ye ni mtu maarufu ana mashabiki na ndio keshatugawa hivyo hili swala ni la nchi ingekua mpira sawa,we unaesema nna chuki ndio nna chuki tena kubwa nikiona watu wanavyokufa kwa kukosa huduma,kwa hili daimond angekaa kimya tu akaenda mpa kura magufuli,sijasema waniletee pesa tunataka huduma nzuri za kijamii kama wameshindwa ccm na miaka yote wanatawala tunataka mabadiliko,watoto wapate elimu bora,tupate maji safi,yaan hapa wengine mnajifanya kuniponda wakati hata maji ya chupa mnaishiaga kuyaona dukani,mbona nchi zingine zimeweza,sie tusiweze kwa nini,madini tunayo lakin tunaachiwa mashimo tu,ni hivi msituibie tu kura zetu si mshazoea kuiba safari hii patachimbikaaa tumechoka ,ukiona umebanana kunywa maji baridi yatakupunguzia mhemko msijifanye wote matajiri hapa hamjui maisha ya watanzania wanavyoishi alaaaa

what does that got to do with diamond!!!

Yani kama akili zako ndo hzo basi ccm itatawala milele.

Yani matatizo ya nchi leo wambebesha platnumz.

Hahaha.! Wonders.
 
Last edited by a moderator:
what does that got to do with diamond!!!

Yani kama akili zako ndo hzo basi ccm itatawala milele.

Yani matatizo ya nchi leo wambebesha platnumz.

Hahaha.! Wonders.

unajua wewe hatuelewi Ni bora ukatuacha tunaoelewana ,unaweza kulala hata
 
Nitakua mnafiki nikipita kimyakimya bila kusema neno kwako Dinazarde, kwanza naomba niweke wazi kua tamko lako hili limenifurahisha sana.
Sijafurahi sababu ya ule upinzani wetu humu uliozoeleka wa Kiba vs Mondi...lah!
Nafurahi kuona wadada wenzangu tunaamka namna hii, sasa tunaelewa matatizo yetu kama Watanzania.
Tumeamua kwa nia ya dhati kabisa kuwa sehemu ya mabadiliko yanayokwenda kuondoa serikali dhalimu ya CCM madarakani.
Nimefurahi sana, hongera zako.
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kuwa Dina ana upeo mkubwa kiasi hiki katika masuala ya maslahi ya taifa!Ni furaha iliyoje kuona wana celebrities tumeamka kiasi hiki?
Tumewazidi hata hao wanaojiona wakongwe wa siasa humu JF!

kweli kabisa nifah linapofika swala la taifa nchi yetu,mengine yote tunaweka pembenii,,,Diamond kwa nini asingempeleka zari kujifungulia hospital ya wilaya kama Ni nzuri anajifanya kipofi na kiziwi,anaanza kumsifia magufuli wakati tunatakiwa tufanyiwe zaidi hayo,tumechokaaaa na utawala WA ccm
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaaa Calmdown broo kitu niiiiiiiiii
DIAMONDPLATNUMZZZ ft NE-YO ndio habari ya mjiniiiii

Nimeona jana insta lakini haikunipa msisimko wowote"
Kama amesha "collabolate" arudi dar afanye kampeni zake cjui ni kada wa Ccm yule.
 
Back
Top Bottom