Mzee wa Ndogo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 204
- 79
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kuona wadada wengine hasa team Diamond wakiamua kuwa kama Dinazarde, sio kuacha kumshabikia Chibu, lah!
Amkeni, badilikeni.
Nimewahi kumuona Evelyn Salty sehemu naye ni kamanda wa ukweli.
#PamojaTutashinda
#LowassaForPresidency2015
We lofa kuna tofauti kati ya 2010 na 2015!Hapa nazungumzia katunga kabisa nyimbo kutukana wapinzani. 2010 alikuwa mburudishaji wa kawaida, na ilitakiwa aendelee katika mfumo huo. Unapiga hela unaenda zako. Yoyote anaekuja na hela unachukua hela unafanya kazi unapita hivi, sasaiv yeye ameamua kuwa kada.. Tutaona, nitakuja kuwakumbusha haya hapa..Diamond alishiriki kampeni za ccm za 2010 na baada ya kampeni zile diamond nyota yake imeng'aa zaidi acha wivu wa kike we mpumbavu..!!
Huna hoja bali inakuuma tu kuona Domo yuko upande wa pili.