Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Diamond akishuka utaumia sana eeh? Unachanganya mambo sana mara kwa sasa diamond yupo kwenye kilele cha taaluma yake , mara unasema ahakikishe kuwa ameshafika kwenye kilele , sorry Unajaribu kusemaje?

Wanafiki hao wanajifanya wao wamekamilika na wanajua saaaana kuongea na kuwapangia watu mjini hapa cha kufanya!wakwendreeee zao tena hatuna haja nao wala business nao tena!na diamond kushuka bado sana
 
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote.

Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena.

Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote.

Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa.

Asante..

Mwenzako amepiga hela pale
 
mpe sapoti yako wala usiache as long as makavu mmshampa, acha maisha mengne yaendelee

Aiseeeeeeeeee kati ya watu walonishangaza kwenye huu uzi unaweza ukawa ni wewe! Haya maneno ni ya kwako kweli? Mhhhh Cc. Kimbley
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mm mpaka nawish zile kura zng nilizompigia afrimma ningeacha tu" nimemshusha sana mondi, Mtu kashatengeneza brand yake kubwa thn anakua cheap kutumika na wanasiasa utafikiri anatafuta shavu lakua mkuu wa wilaya bwana.

Rafiki umekuwaje mara hii? Labda kabla ya kingine nikuulize ulianza kumshabikia Diamond lini? Maana kwa tunaomfahamu mondi since then tunajua alishiriki kwenye kampeni za 2010 au kipindi hicho mlikuwa bado hamjakuwa. Mlikuwa hammjui diamond ni nani au? Cc. Mazigazi Dinazarde
 
Cjabadilika stil namkubali Diamond kwa juhudi zake na mziki mzuri lkn cwez kataa kua kanichefua vibaya mnooo. Kwa msanii mkubwa kama yy kufanya mambo ya kampeni kushawishi fans wake wachague ccm et kisa magufuli ni jembe huo ni unafiki mkubwa hata angechaguliwa na lowassa angekuja kusema hvo hvo anachoangalia yy ni pesa. Anagawa fans wake ajue na hyo hua inacost sana kwenye mziki unaweza kushuka hata kama ulikua juu kiasi gani. Mifano iko mingi sana
 
No, bado bado bado bado sana mi kukuelewa, ebu nipe sababu ya wewe kutaka diamond ashabikie unachoshabikia wewe. Na kwanini unatamani hivyo.
 
Wanafiki hao wanajifanya wao wamekamilika na wanajua saaaana kuongea na kuwapangia watu mjini hapa cha kufanya!wakwendreeee zao tena hatuna haja nao wala business nao tena!na diamond kushuka bado sana

Shosti unajua leo nipo tu nyumbani, baada ya kumaliza kufanya mausafi nikaona niingie JF for a while. Ndo nakutana na haya, jana wakati unanambia kuwa ulijua na mimi nimehama ujue sikukuelewa kumbe hadi wale fans wa diamond wametangaza kuhama! Hahhah nimecheka sana, nimegundua kuwa walikuwa hawajui kwanini wanamshabikia Diamond.

Na mie nasema hivi waeeeeeendeeeeeeee.
 
Ctaki diamond ashabikie cjui ukawa wala ccm no" ila if ningekua mshauri wake ningemshauri akae kimya tu labda afanya kampeni za watu wapige kura wachague rais wanayemtaka kama big artist. As Nikki wa pili Weusi wanavyofanya ad wametoa nyimbo "Zamu yako" ila kusema kavote for ccm hua ni ujinga.
-Wasanii wetu bado wako chini sana hawauzi albums wengi,
hawapo kwenye mifuko ya hifadhi za jamii wakizeeka kujikimu.
Bima za afya hawana ndio mana wengi huchangiwa wakiumwa. Alaf unasimama unasema vote for ccm. Aaagh
 
Wanafiki hao wanajifanya wao wamekamilika na wanajua saaaana kuongea na kuwapangia watu mjini hapa cha kufanya!wakwendreeee zao tena hatuna haja nao wala business nao tena!na diamond kushuka bado sana

Umepanick Kimbley calm down
 
Last edited by a moderator:
Shosti unajua leo nipo tu nyumbani, baada ya kumaliza kufanya mausafi nikaona niingie JF for a while. Ndo nakutana na haya, jana wakati unanambia kuwa ulijua na mimi nimehama ujue sikukuelewa kumbe hadi wale fans wa diamond wametangaza kuhama! Hahhah nimecheka sana, nimegundua kuwa walikuwa hawajui kwanini wanamshabikia Diamond.

Na mie nasema hivi waeeeeeendeeeeeeee.

Team kiba wanafiki wengine wala hawanipi shidaaaaa
 
Umepanick Kimbley calm down

ahahaha sijapanick wala!ila nimechoshwa na drama zenu za kujifanya nyie wajuvi saaana wa mambo na kutaka watu waishi vile mpendavyo nyie!BTW familia ya WCB inazidi kukua kama kawaida!mmeondoka na virago vyenu na sie tupo navtutaendelea kuwepo,mtuache tupumue
 
Last edited by a moderator:
Nimejiuliza hili swali sipati majibu hebu naomba tujadili waungwana ili binafsi nielwwe nn kinachomfanya huyu Diamond na wenzie wengi ambao awali walikuwa upande wa lowassa lkn baada ya dinner na Mh. Wakageukia ccm Je? Nini kilichowasibu
kama malipo ya lowassa madogo unakwenda kwenye makubwa lazima uangalie fursa lowassa sio baba yao wala mama yao
 
ahahaha sijapanick wala!ila nimechoshwa na drama zenu za kujifanya nyie wajuvi saaana wa mambo na kutaka watu waishi vile mpendavyo nyie!BTW familia ya WCB inazidi kukua kama kawaida!mmeondoka na virago vyenu na sie tupo navtutaendelea kuwepo,mtuache tupumue

Hahaha sio drama utaifa zaidi napia ajue anatumika na level yke nikubwa sana anaiweka rehani.
Bado tuko pamoja wcb wasafi classic baibee Ila tutarudi uchaguzi ukiisha
😀😀
"Taifa kwanza Burudani baadae''
 
Tuko pamoja WCB wasafi sema ndio hvo raisi katugawa kimaandazi kwa uroho wa pesa.
WcB Ccm
WcB Ukawa 4 life
Current situation #NP Number One Remix Diamond ft Ccm..hard to believe the biggest song in Africa remix to be ccm campaign song poor president"
 
Hahaha sio drama utaifa zaidi napia ajue anatumika na level yke nikubwa sana anaiweka rehani.
Bado tuko pamoja wcb wasafi classic baibee Ila tutarudi uchaguzi ukiisha
😀😀
"Taifa kwanza Burudani baadae''

WCB wa kweli hawezi kujadili kwa kuponda hapa JF hili swala!utadhani amefanya kosa la mauaji?!tulishamalizana kwenye Group letu la Whatssap na Platnum wetu tumeongea nae fresh saaaana!

BTW hata mkirudi tutawahesabu kama mamluki
 
Nawatakia kila laheri kwenye tuzo zenu mnazowania wapendwa.
 
Diamond akishuka utaumia sana eeh? Unachanganya mambo sana mara kwa sasa diamond yupo kwenye kilele cha taaluma yake , mara unasema ahakikishe kuwa ameshafika kwenye kilele , sorry Unajaribu kusemaje?

Mkuu nitakupatia mfano na mimi.
Nikiwa shule ya msingi nilikuwa na lengo langu la kupata alama 410/500 na niwe nambari moja darasani. Lakini nilifanikiwa kuwa nambari moja japo sikupata hizo alama. Kwa hivyo hata kama nilikuwa nambari moja malengo yangu ya kupata alama 410/500 yalikuwa bado.
There4, japo Diamond ndiye msanii anayefagiliwa sana, na yeye mwenyewe anajuwa, ukimwuuliza atakwambia bado anataka kung'aa zaidi.
Nafikiri umeelewa.
 
Back
Top Bottom