The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ukiingia Mitandao leo ni full bata Dar karibu yote..
Waliokusanyika bar za nje uwanja wa Taifa
Na maeneo mbali mbali leo kusherehekea Simba day ..beer zimeanza asubuhi..
Na Vijana mostly under 30 wamejaza bar karibu zote leo Dar wakitazama kwa TV
Na kuanza kunywa beer kuanzia asubuhi ..
Hizi bar za uwanja wa Taifa ni hatari Zaidi..
Hata mshabiki mmoja alihojiwa akasema
Hiii Simba day imekuwa kubwa kuliko
Simba yenyewe labda itafutiwe jina lingine...
Kumbuka kuna mashabiki wa Yanga pia Tele leo huko uwanjani na kwenye ma bar Wana subiri ikitokea Simba kafungwa wanataniana na wenzao.. ingawa wote kuanzia asubuhi wanakunywa pamoja
Vijana wa nchi jirani kama kenya au Uganda au Zambia wanatazama haya na kujiuliza huko Tz maisha yatakuwa matamu sana..
Hawaelewi kabisa nikiwaambia Tz kuna maisha magumu ..
Hata hivyo hebu tuulizane ukweli
Kwa starehe hizi kwa majority ya vijana
Kila mara..mara Simba day mara Yanga week..mara fiesta mara wasafi festival.
Ni kweli maisha magumu Tz hasa hapa Dar?au tunakariri Tu hizo kauli?..mbona watu wa nchi zingine wanatutazama tofauti kabisa?