Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
hizi lite wengine kwao ni kama maji au soda ...Mtu anakata kreti 2 na kushushia na bapa!!...Mkuu unapiga zote 20 kwa wakati mmoja peke yako au?
Watu wanalewa mkuu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi lite wengine kwao ni kama maji au soda ...Mtu anakata kreti 2 na kushushia na bapa!!...Mkuu unapiga zote 20 kwa wakati mmoja peke yako au?
Mbona unamwaga mtama namna hii kwenye kuku Wendi?Hujambo mlevi mbwa....😁
Nipo best, we ndio sikuoniMbona unamwaga mtama namna hii kwenye kuku Wendi?
Kweli hufai kupewa siri jf nzima imejua mimi mlevi 😀😀😀
Btw ulipotelea wapi.
Aisee kweli mkuuhizi lite wengine kwao ni kama maji au soda ...Mtu anakata kreti 2 na kushushia na bapa!!...
Watu wanalewa mkuu....